Upgrade to Pro

FROM A HERO TO VILLAIN
Haya Mashabiki wa Robert Downey mliokuwa mnaomba arudi MCU good news ni kwamba dua zenu zimesikilizwa na ametangazwa kurudi rasmi katika mfululizo wa movie za avengers

lakini bad news ni kwamba hajarudi kama Tony stark (IRON MAN) awamu hii anarudi kama villain DOCTOR DOOM

Atakiwasha kama adui kwenye AVENGERS DOOMSDAY 2026 baada ya kukanceliwa kwa AVENGERS KANG DYNASTY,pia ataonekana kwenye AVENGERS SECRET WARS 2027

Yetu macho tukutane 2026/27 maana Kuna surprise nyingi kutoka marvel zinaendelea kuja ,mlioitazama DEADPOOL AND WOLVERINE ni mashahidi.

FROM A HERO TO VILLAIN ๐Ÿค” Haya Mashabiki wa Robert Downey mliokuwa mnaomba arudi MCU good news ni kwamba dua zenu zimesikilizwa na ametangazwa kurudi rasmi katika mfululizo wa movie za avengers ๐Ÿ˜ lakini bad news ni kwamba hajarudi kama Tony stark (IRON MAN) awamu hii anarudi kama villain DOCTOR DOOM๐Ÿ˜ญ Atakiwasha kama adui kwenye AVENGERS DOOMSDAY 2026 baada ya kukanceliwa kwa AVENGERS KANG DYNASTY,pia ataonekana kwenye AVENGERS SECRET WARS 2027 Yetu macho tukutane 2026/27 maana Kuna surprise nyingi kutoka marvel zinaendelea kuja ,mlioitazama DEADPOOL AND WOLVERINE ni mashahidi.โœ๏ธ
Like
3
ยท220 Views ยท1 Shares