.𝐄𝐱𝐥𝐮𝐬𝐢𝐯𝐞 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐯𝐢𝐞𝐰

“Kabla ya kusaini mkataba mpya, Kocha wetu Miguel Gamondi alipata ofa nyingi sana kutoka Klabu nyingine kubwa Afrika na aliahidiwa hela nyingi lakini alichagua kubaki Yanga kwa sababu ya ubora wa timu tuliyoitengeneza. Hii timu yetu inaweza kumpa heshima kubwa zaidi Afrika,” Eng Hersi Said

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
.𝐄𝐱𝐥𝐮𝐬𝐢𝐯𝐞 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐯𝐢𝐞𝐰🔰 “Kabla ya kusaini mkataba mpya, Kocha wetu Miguel Gamondi alipata ofa nyingi sana kutoka Klabu nyingine kubwa Afrika na aliahidiwa hela nyingi lakini alichagua kubaki Yanga kwa sababu ya ubora wa timu tuliyoitengeneza. Hii timu yetu inaweza kumpa heshima kubwa zaidi Afrika,” Eng Hersi Said #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Like
Love
11
2 Комментарии 0 Поделились 599 Просмотры