.... ๐๐๐ง๐จ๐๐ข ๐ฆ๐๐ฅ๐๐ข๐จ๐ฆ
Nimefanya utafiti mdogo nimebaini kuwa kamati zinazotoa tuzo za Man of the Match ligi kuu Tanzania bara hawana vigezo rasmi, wanatoa tuzo kwa mitazamo yao binafsi
Tujikite kwenye mechi ya ligi kuu, Kagera sugar 0 dhidi ya 2 Yanga:
Vigezo mama vinavyoangaliwa EPL, LALIGA, BUNDESLIGA ili kupata mchezaji bora wa mechi (MOTM).
โ Mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa matokeo CHANYA (Ushindi) kwa timu yake ndiye anayepewa priority kubwa ya kushinda tuzo.
โ Mchezaji kutoka timu iliyopoteza mechi atapata tuzo ikiwa tu ameonesha kiwango bora SANA ZAIDI ya KAWAIDA na kuwazidi mbali sana wachezaji wote wa timu iliyoshinda.
Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ?
Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2).
MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi.
Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?!
By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO.
Manchester United 0 - 3 Liverpool
โ MOTM : Mohamed Salah.
Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur
โ MOTM : Alexander Isak.
Man United 1 - 0 Fullham
โ MOTM : Joshua Zirkzee
Brentford 3 - 1 Southampton
โ MOTM : Bryan Mbeumo
Everton 2 - 3 Bournemouth
โ MOTM : Antoine Semenyo
Leicester City 1 - 2 Aston Villa
โ MOTM : Jhòn Duran
West Ham 1 - 3 Man City
โ MOTM : Erling Haaland
Real Madrid 2 - 0 Betis
โ Kylian Mbape.
Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!!
Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!?
Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.

.... โน๏ธ ๐๐๐ง๐จ๐๐ข ๐ฆ๐๐ฅ๐๐ข๐จ๐ฆ

โน๏ธ Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ?
Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2).
MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi.
Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?!
By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO.
Manchester United 0 - 3 Liverpool
โ MOTM : Mohamed Salah.
Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur
โ MOTM : Alexander Isak.
Man United 1 - 0 Fullham
โ MOTM : Joshua Zirkzee
Brentford 3 - 1 Southampton
โ MOTM : Bryan Mbeumo
Everton 2 - 3 Bournemouth
โ MOTM : Antoine Semenyo
Leicester City 1 - 2 Aston Villa
โ MOTM : Jhòn Duran
West Ham 1 - 3 Man City
โ MOTM : Erling Haaland
Real Madrid 2 - 0 Betis
โ Kylian Mbape.
โน๏ธ Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!! ๐
Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!?
Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.
1 Comments
ยท408 Views