Atualize para o Pro

.... 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗢𝗨𝗦

Nimefanya utafiti mdogo nimebaini kuwa kamati zinazotoa tuzo za Man of the Match ligi kuu Tanzania bara hawana vigezo rasmi, wanatoa tuzo kwa mitazamo yao binafsi

Tujikite kwenye mechi ya ligi kuu, Kagera sugar 0 dhidi ya 2 Yanga:

Vigezo mama vinavyoangaliwa EPL, LALIGA, BUNDESLIGA ili kupata mchezaji bora wa mechi (MOTM).

➜ Mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa matokeo CHANYA (Ushindi) kwa timu yake ndiye anayepewa priority kubwa ya kushinda tuzo.

➜ Mchezaji kutoka timu iliyopoteza mechi atapata tuzo ikiwa tu ameonesha kiwango bora SANA ZAIDI ya KAWAIDA na kuwazidi mbali sana wachezaji wote wa timu iliyoshinda.

Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ?

Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2).

MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi.

Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?!

By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO.

Manchester United 0 - 3 Liverpool
➜ MOTM : Mohamed Salah.

Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur
➜ MOTM : Alexander Isak.

Man United 1 - 0 Fullham
➜ MOTM : Joshua Zirkzee

Brentford 3 - 1 Southampton
➜ MOTM : Bryan Mbeumo

Everton 2 - 3 Bournemouth
➜ MOTM : Antoine Semenyo

Leicester City 1 - 2 Aston Villa
➜ MOTM : Jhòn Duran

West Ham 1 - 3 Man City
➜ MOTM : Erling Haaland

Real Madrid 2 - 0 Betis
➜ Kylian Mbape.

Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!!

Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!?

Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.
.... ℹ️ 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗢𝗨𝗦 Nimefanya utafiti mdogo nimebaini kuwa kamati zinazotoa tuzo za Man of the Match ligi kuu Tanzania bara hawana vigezo rasmi, wanatoa tuzo kwa mitazamo yao binafsi Tujikite kwenye mechi ya ligi kuu, Kagera sugar 0 dhidi ya 2 Yanga: Vigezo mama vinavyoangaliwa EPL, LALIGA, BUNDESLIGA ili kupata mchezaji bora wa mechi (MOTM). ➜ Mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa matokeo CHANYA (Ushindi) kwa timu yake ndiye anayepewa priority kubwa ya kushinda tuzo. ➜ Mchezaji kutoka timu iliyopoteza mechi atapata tuzo ikiwa tu ameonesha kiwango bora SANA ZAIDI ya KAWAIDA na kuwazidi mbali sana wachezaji wote wa timu iliyoshinda. ℹ️ Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ? Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2). MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi. Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?! By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO. Manchester United 0 - 3 Liverpool ➜ MOTM : Mohamed Salah. Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur ➜ MOTM : Alexander Isak. Man United 1 - 0 Fullham ➜ MOTM : Joshua Zirkzee Brentford 3 - 1 Southampton ➜ MOTM : Bryan Mbeumo Everton 2 - 3 Bournemouth ➜ MOTM : Antoine Semenyo Leicester City 1 - 2 Aston Villa ➜ MOTM : Jhòn Duran West Ham 1 - 3 Man City ➜ MOTM : Erling Haaland Real Madrid 2 - 0 Betis ➜ Kylian Mbape. ℹ️ Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!! 😀 Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!? Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.
Like
3
1 Comentários ·419 Visualizações