Timu za Yanga na Simba zinawania tuzo kwenye kipengele cha klabu bora Afrika kwa upande wa wanaume tuzo za CAF Awards zitakazofanyika Desemba 16, Morocco .
Timu nyingine ni Al Ahly, Mamelodi, Zamalek, Dreams FC, Petro Athletico, Esparance De Tunis, TP Mazembe na RS Berkane.
#paulswai

Timu za Yanga na Simba zinawania tuzo kwenye kipengele cha klabu bora Afrika kwa upande wa wanaume tuzo za CAF Awards zitakazofanyika Desemba 16, Morocco 🇲🇦.