Timu za Yanga na Simba zinawania tuzo kwenye kipengele cha klabu bora Afrika kwa upande wa wanaume tuzo za CAF Awards zitakazofanyika Desemba 16, Morocco .

Timu nyingine ni Al Ahly, Mamelodi, Zamalek, Dreams FC, Petro Athletico, Esparance De Tunis, TP Mazembe na RS Berkane.

#paulswai
Timu za Yanga na Simba zinawania tuzo kwenye kipengele cha klabu bora Afrika kwa upande wa wanaume tuzo za CAF Awards zitakazofanyika Desemba 16, Morocco 🇲🇦. Timu nyingine ni Al Ahly, Mamelodi, Zamalek, Dreams FC, Petro Athletico, Esparance De Tunis, TP Mazembe na RS Berkane. #paulswai
Like
Angry
2
· 0 Reacties ·0 aandelen ·192 Views