Watu wanalalamika kwamba BLACK PANTHER WAKANDA FOREVER ni miongoni mwa movie mbaya kutoka kampuni ya MARVEL
Ukiwauliza kwanini hawakupi sababu za msingi kwanini wanasema WAKANDA FOREVER ni movie mbaya ??
Zaidi ni kwamba watakalamika na kuponda uhusika na majukumu makubwa aliyopewa SHURI kucheza kama BKACK PANTHER baada ya kifo Cha KING T CHALA
Ilikuwa lazima iwe hivyo maana KING T CHALA hakuwa na ndugu wa kiume zaidi ya Kuwa na mdogo wake wakike SHURI
Movie ni nzuri na ina story nzuri,ila ndo hivyo wengi wetu hatupendi kuona movie za action ambazo starling ni mwanamke.

šWatu wanalalamika kwamba BLACK PANTHER WAKANDA FOREVER ni miongoni mwa movie mbaya kutoka kampuni ya MARVEL
Ukiwauliza kwanini hawakupi sababu za msingi kwanini wanasema WAKANDA FOREVER ni movie mbaya ??
Zaidi ni kwamba watakalamika na kuponda uhusika na majukumu makubwa aliyopewa SHURI kucheza kama BKACK PANTHER baada ya kifo Cha KING T CHALA
Ilikuwa lazima iwe hivyo maana KING T CHALA hakuwa na ndugu wa kiume zaidi ya Kuwa na mdogo wake wakike SHURI
Movie ni nzuri na ina story nzuri,ila ndo hivyo wengi wetu hatupendi kuona movie za action ambazo starling ni mwanamke.āļø
1 ComentƔrios
Ā·53 VisualizaƧƵes