Upgrade to Pro

Aliyekuwa kipa namba moja wa Simba, Ayoub Lakred ameanza kupaki mizigo kujiandaa kuondoka klabu hapo dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Jumapili hii ili kumpisha winga teleza, Elie Mpanzu.

Simba ilishamalizana na Mpanzu siku chache baada ya dirisha kubwa la usajili kufungwa Agosti 31 na kwa sasa anajiandaa kuanza kuitumikia timu hiyo,

#paulswai
๐Ÿ“ Aliyekuwa kipa namba moja wa Simba, Ayoub Lakred ameanza kupaki mizigo kujiandaa kuondoka klabu hapo dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Jumapili hii ili kumpisha winga teleza, Elie Mpanzu. ๐Ÿ“Simba ilishamalizana na Mpanzu siku chache baada ya dirisha kubwa la usajili kufungwa Agosti 31 na kwa sasa anajiandaa kuanza kuitumikia timu hiyo, โœ๏ธ #paulswai
Like
Love
5
2 Comments ยท162 Views