Aliyekuwa kipa namba moja wa Simba, Ayoub Lakred ameanza kupaki mizigo kujiandaa kuondoka klabu hapo dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Jumapili hii ili kumpisha winga teleza, Elie Mpanzu.
Simba ilishamalizana na Mpanzu siku chache baada ya dirisha kubwa la usajili kufungwa Agosti 31 na kwa sasa anajiandaa kuanza kuitumikia timu hiyo,
#paulswai
Simba ilishamalizana na Mpanzu siku chache baada ya dirisha kubwa la usajili kufungwa Agosti 31 na kwa sasa anajiandaa kuanza kuitumikia timu hiyo,
#paulswai
đź“ť Aliyekuwa kipa namba moja wa Simba, Ayoub Lakred ameanza kupaki mizigo kujiandaa kuondoka klabu hapo dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Jumapili hii ili kumpisha winga teleza, Elie Mpanzu.
đź“ťSimba ilishamalizana na Mpanzu siku chache baada ya dirisha kubwa la usajili kufungwa Agosti 31 na kwa sasa anajiandaa kuanza kuitumikia timu hiyo,
✍️ #paulswai
2 Commentaires
·175 Vue