Upgrade to Pro

UPDATES:- Afisa wa Bodi ya Ligi kuu ya NBC, Karim Boimanda amethibitisha kupokea barua kutoka kwa Simba SC juu ya kutaka kuhama uwanja wa KMC Complex na kwenda uwanja wa Azam Complex .

Simba Sc wametuma barua ya kuhama uwanja wa KMC Complex ili kuweza kuhamia uwanja wa Azam Complex .

#paulswai
🚨UPDATES:- Afisa wa Bodi ya Ligi kuu ya NBC, Karim Boimanda amethibitisha kupokea barua kutoka kwa Simba SC juu ya kutaka kuhama uwanja wa KMC Complex na kwenda uwanja wa Azam Complex . Simba Sc wametuma barua ya kuhama uwanja wa KMC Complex ili kuweza kuhamia uwanja wa Azam Complex . #paulswai
Love
Like
3
·191 Views