Mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 Yanga ilipoteza ubora wake, Yanga ilifukuza Kocha wake, Yanga ikaleta Kocha mpya, Yanga ikaanza kujitafuta, Yanga ikaanza kutengeneza timu upya, Sasahivi mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu, mwaka 2024 kabla hata haujapinduka Yanga imejipata..
Lakini kuna Timu hiyo mwanzoni mwa mwaka ilikua inajenga timu, ikaanza kujenga timu, ikaanza kujitafuta, mpka muda huu mwaka 2024 unaisha mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu ukiwauliza wanakwambia wanajenga TIMU..
SASA HUU KAMA SIO UCHAWI NI NI NI..
#neliudcosiah

Mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 Yanga ilipoteza ubora wake, Yanga ilifukuza Kocha wake, Yanga ikaleta Kocha mpya, Yanga ikaanza kujitafuta, Yanga ikaanza kutengeneza timu upya, Sasahivi mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu, mwaka 2024 kabla hata haujapinduka Yanga imejipata..☺️
Lakini kuna Timu hiyo mwanzoni mwa mwaka ilikua inajenga timu, ikaanza kujenga timu, ikaanza kujitafuta, mpka muda huu mwaka 2024 unaisha mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu ukiwauliza wanakwambia wanajenga TIMU..😁
SASA HUU KAMA SIO UCHAWI NI NI NI..😁
#neliudcosiah
·112 Views