Watu watano wameripotiwa kufariki kutokana na hali ya hewa ya baridi ambayo imesababisha theluji na baridi kali katika sehemu kubwa ya Marekani.
Polisi wanaoshika doria katika barabara kuu ya Jimbo la Missouri wamethibitisha ajali 350 za barabarani, ambapo watu wawili walifariki mjini Kansas kutokana na hali mbaya ya hewa, na mwingine huko Virginia.
#neliudcosiah

·56 Views