Upgrade to Pro

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema chama hicho hakitovumilia dalili zozote za rushwa kwa wanachama, viongozi au mawakala kwenye uchaguzi wa ndani unaotarajiwa kufanyika Januari mwaka huu.
#neliudcosiah

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema chama hicho hakitovumilia dalili zozote za rushwa kwa wanachama, viongozi au mawakala kwenye uchaguzi wa ndani unaotarajiwa kufanyika Januari mwaka huu. #neliudcosiah
Like
1
·36 Views