Manchester United ilianzishwa mwaka 1878 na wafanyakazi wa reli ikijulikana kama Newton Heath LYR Football Club.
Rangi za kwanza zilizotumiwa na Manchester United wakati klabu hiyo ikiitwa Newton Heath LYR Football Club, zilikuwa kijani na dhahabu.
Rangi hizo zilikuwa sehemu ya jezi zao za awali na baadaye jina la klabu lilibadilishwa kuwa Manchester United mwaka 1902, na kubadilisha rangi rasmi kuwa nyekundu, nyeupe na nyeusi, ambazo ndizo zinazoihusisha klabu hiyo hadi leo.
#neliudcosiah

1 Comentários
·41 Visualizações