ترقية الحساب

#FAHAMU Miongoni mwa viumbe hatari zaidi vinavyopatikana kwenye maji ni aina ya samaki anayefahamika kwa jina la (Eel), uhatari mkubwa wa samaki huyu ni kwamba mwili wake una uwezo wa kuzalisha umeme wa mpaka kufikia volti 650.

Samaki huyu anauwezo wa kuyapa maji shoti ya volti zaidi ya 600 ili tu kufanikiwa kumdhuru kiumbe yeyote ndani ya maji. Kiumbo anaweza kukua kwa urefu mpaka futi 8 au mita 2.5 na awapo kwenye maji hufanana na nyoka.

Zipo baadhi ya video zinazoonyesha baadhi ya watu tofauti tofauti ulimwenguni wakionekana kupoteza maisha ghafla kwa mtetemesho wawapo ndani ya maji na wengi wao wamethibitishwa kufariki kutokana na shoti ya samaki huyo.
#FAHAMU Miongoni mwa viumbe hatari zaidi vinavyopatikana kwenye maji ni aina ya samaki anayefahamika kwa jina la (Eel), uhatari mkubwa wa samaki huyu ni kwamba mwili wake una uwezo wa kuzalisha umeme wa mpaka kufikia volti 650. Samaki huyu anauwezo wa kuyapa maji shoti ya volti zaidi ya 600 ili tu kufanikiwa kumdhuru kiumbe yeyote ndani ya maji. Kiumbo anaweza kukua kwa urefu mpaka futi 8 au mita 2.5 na awapo kwenye maji hufanana na nyoka. Zipo baadhi ya video zinazoonyesha baadhi ya watu tofauti tofauti ulimwenguni wakionekana kupoteza maisha ghafla kwa mtetemesho wawapo ndani ya maji na wengi wao wamethibitishwa kufariki kutokana na shoti ya samaki huyo.
Like
Love
2
1 التعليقات ·68 مشاهدة