Historia ya Wazazi wa Jackie Chan inavutia zaidi hadi Jackie Chan aliamua kuandaa "Documentary" maalum kwa ajili ya kueleza Wazazi wake walivyokutana na walikuwa wanafanya kazi gani.
Katika kipindi chote Jackie Chan alichoishi na Wazazi wake hakuwahi kufahamu Wazazi wake walikutana vipi pamoja na kazi halisi za awali za Wazazi wake mpaka hapo Baba yake alipokuwa ana umri wa miaka 80 akaamua kumwambia ukweli maana aliamini umri wake umeenda sana hivyo muda wowote anaweza kufariki bila kumueleza ukweli Jackie Chan.
Baba Mzazi wa Jackie Chan, Charles Chan (1914 - 2008) siku moja akiwa barabarani kwenye gari na Jackie Chan alifunguka kuwa tangu zamani alikuwa Mpelelezi (Shushushu) kwenye Serikali ya China na Mama yake Jackie Chan, Lee-Lee Chan (1916-2002) alikuwa muuza madawa ya kulevya, siku moja katika "operation" ya kukamata Wauza madawa Charles Chan alimkamata Lee-Lee Chan lakini baada ya kumfikisha kwenye vyombo vya dola walijikuta wamependana na wakafunga ndoa.
Hadithi hii ilimshitua sana Jackie Chan kwani amekua akijua kwamba Baba yake ni Mpishi na amewahi kuwa Mpishi kwenye ubalozi wa Ufaransa - Hong Kong, pamoja na ubalozi wa Marekani Nchini Australia .
Taarifa nyingine iliyomshitua zaidi ni pale alipoambiwa kuwa kuwa jina la Baba yake sio Chan bali ni Fang Daolong, hivyo kama asingebadili jina, Jackie Chan hivi sasa angefahamika kama Jackie Fang, Baba Jackie Chan alikuwa "Spy" kwenye Serikali ya China iliyokuwa ikiundwa na Chama cha Kuomintang, mwaka 1949 baada ya vita kali ya wenyewe kwa wenyewe Chama cha Kikomunisti kikiongozwa na Mao Zedong kiliipindua Serikali ya Kuomintang kikachukua Nchi hapo ilibidi Baba Jackie Chan abadili jina kwa sababu ya kuficha utambulisho wake maana kulikuwa na vita kubwa baina ya vyama hivyo na baadhi ya makachero wa Kuomintang walikuwa wakikamatwa na kuuawa.
Historia ya Wazazi wa Jackie Chan imeelezwa kwa urefu kwenye "Documentary" iliyoandaliwa na Jackie Chan "Traces of the Dragon: Jackie Chan and His Lost Family" (2003)
"Baba alikua jasusi na Mama alikua Muuza madawa na mcheza kamari. Walikutana na wakaoana baada ya Baba yangu kumkamata Mama"
"Tangu nilipokua Mdogo nilikua najua Baba yangu anafanya kazi ya upishi kwenye Ubalozi wa Marekani mpaka alipotimiza miaka 80 na akaniambia kazi yake ya kweli. Nilishtuka, nilishtuka"
" Kwahiyo kuna siku moja nilikua naendesha gari nikiwa na Baba yangu ghafla, Baba akageuka na kusema: 'Jackie, Mimi ni Mzee sana na huenda nisiamke kesho. Kuna kitu lazima nikuambie, ni siri' kisha akasema: kwa kweli wewe sio Jackie Chan, jina lako unaitwa Fong.'
"Nikahisi kupatwa na mshtuko, kwangu ilikua kitu cha kustaajabisha. Kwa haraka nikamuambia asiendelee kuongea nikampigia rafiki yangu ili tutengeneze documentary ya stori ya Baba yangu. Ilituchukua miaka 3 ya kumfata Baba yangu na kuongea nae kuhusu stori yote."
" Nilihisi mimi ndiye Mwanae wa pekee lakini nilishtuka baada ya kujua kwamba nina ndugu zangu wanne kwa Wazazi wangu. Kaka zangu wawili, upande wa Baba na Dada zangu wawili upande wa Mama. Alilazimika kunificha yote hayo kwa sababu ya kazi yake, baba alikua jasusi. Nilivutiwa sana baada ya kujua kwamba Baba yangu alikua mpole sana. Miaka yote ile nilidhania ni Mpishi. Nimetengeneza movie kupitia hii stori." - Jackie Chan

Hadithi hii ilimshitua sana Jackie Chan kwani amekua akijua kwamba Baba yake ni Mpishi na amewahi kuwa Mpishi kwenye ubalozi wa Ufaransa 🇫🇷 - Hong Kong, pamoja na ubalozi wa Marekani 🇺🇸 Nchini Australia 🇦🇺.