• NDOTO ni mlango wa kiroho ambao ulimwengu wa roho unapitisha taarifa zake zinaweza kuwa zinatoka kwa Mungu au shetani anatumia kama mlango wa kuingiza taarifa.

    #Habakuki 2:2-3
    [2]BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.

    [3]Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.

    Kumbe taarifa ya habakuki ilimfikia kupitia mlango unao itwa ndoto .

    Ndoto pia hutokana na shughuli nyingi au ni revision wa matukio ya mchana.

    #Muhubiri 5:13
    *Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno*

    Ila mimi nataka nieleze ndoto kama mlango wa fahamu ambao Mungu hutumia kupeleka taarifa.
    #Ebrania 1:11-14

    #Ayubu 33:14-16
    [14]Kwa kuwa Mungu hunena mara moja,
    Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.
    .
    [15]Katika ndoto, katika maono ya usiku,
    Usingizi mzito uwajiliapo watu,
    Katika usingizi kitandani;
    ;
    [16]Ndipo huyafunua masikio ya watu,
    Na kuyatia muhuri mafundisho yao,

    Kumbe ndoto sasa ni mlango ambao Mungu anatuonyessha picha ya matukio ya nyuma au ya mbele yanayo kuja.,

    Kumbe baada ya kupata taarifa ya iliyo tangulia u inayo kuja lazima ujifunze kumtafuta Mungu.

    #Yeremia 29:13
    [13]Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

    Kwanini tunamtafuta Mungu ni kwa sababu wewe ni wa rohoni na ndoto ni mlango wa rohoni usipo shughulika nayo itqkushughulikia .

    #1 Kor 2:15 SUV
    Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.

    Baada ya kile ulicho kiota mtu wa rohoni lazima uyatambue vizr na ujue namna ya kuomba .

    Kuna watu mafanikio yao yalianzia ndotoni na kuna watu umasikini wao ulianzia ndotoni .

    Kwenye kila ndoto kuna taarifa na ndoto yenye taarifa lazima ikusumbue na ijirusie ndani yako .

    Ndoto ndiyo level ya mwisho kwa Mungu kuzungumza na mtu ,namaanisha hivi Mungu akiona uelewi kupitia mawazo anakuja kwa njia ya njozi kama njia ya mwisho ya kufikisha taarifa.

    Shetani pia akitaka kukupiga wakati mwingine anaanzia ndotoni.

    Kuna mtu aliota anazini na mtu ndotoni kisha toka hapo hamu yq uzinzi inamtawala kila siku .

    Kuna mtu aliota amengatwa na nyoka ndotoni kisha toka hapo homa udhaifu ukaingia.

    Kuna dada aliota kama ananyonyesha mtoto wakati hana mtoto na amengatwa kwenye ziwa lake la kushoto na toka hapo ndipo saratani ya titi ilipo anzia .

    Usichukulie ndoto kama kitu kidoga sana katika level hiyo .

    Ndoto nyingi ni taarifa sema ni vile tu ujajifunza siri ya ufalme wa Mungu katika ulimwengu wa roho.

    Kwa leo naomba nikuache na tafakuri hii kisha kesho tutatazama watu walio ota ndoto kibiblia na jinsi zilivyo timia .

    Nikutakie asubui njema na siku njema .

    Mkaribishe pia mwezio kwa kushare na kumualika ajoin katika group letu hili ili nayeye ajifunze siri hizi.

    Namba :0622625340 Type neno add na jina lako nitakuad katika group .

    Nikutakie asubui njema na siku njema .

    Naitwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)
    #ndoto ni taarifa acha kupuuzia
    #restore men position
    #build new eden
    NDOTO ni mlango wa kiroho ambao ulimwengu wa roho unapitisha taarifa zake zinaweza kuwa zinatoka kwa Mungu au shetani anatumia kama mlango wa kuingiza taarifa. #Habakuki 2:2-3 [2]BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji. [3]Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia. Kumbe taarifa ya habakuki ilimfikia kupitia mlango unao itwa ndoto . Ndoto pia hutokana na shughuli nyingi au ni revision wa matukio ya mchana. #Muhubiri 5:13 *Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno* Ila mimi nataka nieleze ndoto kama mlango wa fahamu ambao Mungu hutumia kupeleka taarifa. #Ebrania 1:11-14 #Ayubu 33:14-16 [14]Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali. . [15]Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani; ; [16]Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia muhuri mafundisho yao, Kumbe ndoto sasa ni mlango ambao Mungu anatuonyessha picha ya matukio ya nyuma au ya mbele yanayo kuja., Kumbe baada ya kupata taarifa ya iliyo tangulia u inayo kuja lazima ujifunze kumtafuta Mungu. #Yeremia 29:13 [13]Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Kwanini tunamtafuta Mungu ni kwa sababu wewe ni wa rohoni na ndoto ni mlango wa rohoni usipo shughulika nayo itqkushughulikia . #1 Kor 2:15 SUV Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu. Baada ya kile ulicho kiota mtu wa rohoni lazima uyatambue vizr na ujue namna ya kuomba . Kuna watu mafanikio yao yalianzia ndotoni na kuna watu umasikini wao ulianzia ndotoni . Kwenye kila ndoto kuna taarifa na ndoto yenye taarifa lazima ikusumbue na ijirusie ndani yako . Ndoto ndiyo level ya mwisho kwa Mungu kuzungumza na mtu ,namaanisha hivi Mungu akiona uelewi kupitia mawazo anakuja kwa njia ya njozi kama njia ya mwisho ya kufikisha taarifa. Shetani pia akitaka kukupiga wakati mwingine anaanzia ndotoni. Kuna mtu aliota anazini na mtu ndotoni kisha toka hapo hamu yq uzinzi inamtawala kila siku . Kuna mtu aliota amengatwa na nyoka ndotoni kisha toka hapo homa udhaifu ukaingia. Kuna dada aliota kama ananyonyesha mtoto wakati hana mtoto na amengatwa kwenye ziwa lake la kushoto na toka hapo ndipo saratani ya titi ilipo anzia . Usichukulie ndoto kama kitu kidoga sana katika level hiyo . Ndoto nyingi ni taarifa sema ni vile tu ujajifunza siri ya ufalme wa Mungu katika ulimwengu wa roho. Kwa leo naomba nikuache na tafakuri hii kisha kesho tutatazama watu walio ota ndoto kibiblia na jinsi zilivyo timia . Nikutakie asubui njema na siku njema . Mkaribishe pia mwezio kwa kushare na kumualika ajoin katika group letu hili ili nayeye ajifunze siri hizi. Namba :0622625340 Type neno add na jina lako nitakuad katika group . Nikutakie asubui njema na siku njema . Naitwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) #ndoto ni taarifa acha kupuuzia #restore men position #build new eden
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·3 Visualizações
  • MTAKATIFU ANAYE ISHI PART TWO.

    MTAZAMO CHANYA KUHUSU UTAKATIFU.

    1.*UTAKATIFU NI KUTENGWA*(KUKUBALI KUACHA)

    Dunia inamtazamo wake kuhusu utakatifu na Mbingu pia ina mtazamo wake kuhusu utakatifu.

    *Kitendo cha biblia kukufahamu kama mtakatifu ni lazima Mungu awe amekutenga kwa kusudi maalamu.*

    Kila aliye okoka ni kiungo katika kuukamilisha mwili wa Kristo katika eneo alilo itiwa .inaweza kuwa uchungaji ,ualimu ,uinjiristi ,,biashara ,siasa , utumishi wa uma nk .

    *Na nieleweke zaidi ninapo sema "Kutengwa" au "kuitwa '' simahanishi kuwa muhudumu wa madhabau peke yake hapana na maanisha kila jambo unalo lifanya ukiokoka na ukafanya sawa sawa na mapenzi ya Mungu ndio wito wako wengine wameitwa kuwa wafanya biashara ,wengine watawala ,wengine wachungaji ,wengine ni wasomi na washauri ko kila mmoja katika gield yake anapaswa kujua ametengwa na "Mungu kuwa mtakatifu"*

    Warumi 1:1 *Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu*

    Paulo yeye alitengwa kwa ajiri ya injiri ya mataifa ,mimi sijui wewe umeitwa katika karia gani ila najenga msingi kuwa katika field uliyo itwa Bwana amekutenga uwe mtakatifu.

    Warumi 12:2. *Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.*

    Kumbuka kuwa Mungu alimuumba mwanadamu ili awe mkamirifu .

    Ndo mana ni rahisi sana kwa mtucasite jua wokovu kuona kama utakatifu unapaswa kuzingatiwa na makuhani peke yake ,

    *Lakini uhalisia utakatifu ni maisha ya mwamini kila wakati na mwamini lazima ujue wewe ni barua unasomwa na wengi*

    Mifano ya watu ambao hawakuwa makuhani wala manabii ila waliupendeza moyo wa Mungu .

    *-Daudi alipendezwa na Mungu na akuwa kuhani wala nabii alikuwa mwanasiasa (mfalme) wa nchi lakini kiwango cha unyenyekevu wake kilimpendeza Mungu.*

    -Daniel akuwa nabii lakini alikuwa mwanasiasa kwa maana ya (ukuu wa wilaya) lugha nyepesi kada wa mlengo wa mfalme (mwanasiasa) lakini alisimama na kukubali kutengwa na kutimiza kusudi la Mungu ata katika ugenini.

    Danieli 10:12. *Aliitwa apendwaye sana sibahati bali ni kwa sababu alikubali kujitenga na kuishi utakatifu , ni wewe tu mwokovu wa leo unaona kama kuishi utakatifu haiwezekani .*

    -Yusuph alikuwa si muhubiri pia wala kuhani lakini alichagua kujitenga na uharibifu wa zinaa na alikuwa mwanasiasa karsmatic leader ko ni wewe tu blaza unatumia ushawishi wako vibaya .

    *Ok nataka kusema hivi kama kila mtu ataamua kuwa barua ya kristo katika eneo alilo itiwa basi jua kabisa tutmpendeza Mungu cna baraka zitatufuata duniani kisha uzima wa milele .*

    Utakatifu ni maisha siyo tukio ukiweza kujua hilo basi utakuwa uleishu kadiri roho apendavyo.

    Ok naitwa sylvester kutoka (build new eden ) kwa mafundisho zaidi unaweza nitafuta kwa namba 0622625340 ni ku add kwenye mfululizo wa mafundisho .

    #build new eden
    #restore men position
    MTAKATIFU ANAYE ISHI PART TWO. MTAZAMO CHANYA KUHUSU UTAKATIFU. 1.*UTAKATIFU NI KUTENGWA*(KUKUBALI KUACHA) Dunia inamtazamo wake kuhusu utakatifu na Mbingu pia ina mtazamo wake kuhusu utakatifu. *Kitendo cha biblia kukufahamu kama mtakatifu ni lazima Mungu awe amekutenga kwa kusudi maalamu.* Kila aliye okoka ni kiungo katika kuukamilisha mwili wa Kristo katika eneo alilo itiwa .inaweza kuwa uchungaji ,ualimu ,uinjiristi ,,biashara ,siasa , utumishi wa uma nk . *Na nieleweke zaidi ninapo sema "Kutengwa" au "kuitwa '' simahanishi kuwa muhudumu wa madhabau peke yake hapana na maanisha kila jambo unalo lifanya ukiokoka na ukafanya sawa sawa na mapenzi ya Mungu ndio wito wako wengine wameitwa kuwa wafanya biashara ,wengine watawala ,wengine wachungaji ,wengine ni wasomi na washauri ko kila mmoja katika gield yake anapaswa kujua ametengwa na "Mungu kuwa mtakatifu"* Warumi 1:1 *Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu* Paulo yeye alitengwa kwa ajiri ya injiri ya mataifa ,mimi sijui wewe umeitwa katika karia gani ila najenga msingi kuwa katika field uliyo itwa Bwana amekutenga uwe mtakatifu. Warumi 12:2. *Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.* Kumbuka kuwa Mungu alimuumba mwanadamu ili awe mkamirifu . Ndo mana ni rahisi sana kwa mtucasite jua wokovu kuona kama utakatifu unapaswa kuzingatiwa na makuhani peke yake , *Lakini uhalisia utakatifu ni maisha ya mwamini kila wakati na mwamini lazima ujue wewe ni barua unasomwa na wengi* Mifano ya watu ambao hawakuwa makuhani wala manabii ila waliupendeza moyo wa Mungu . *-Daudi alipendezwa na Mungu na akuwa kuhani wala nabii alikuwa mwanasiasa (mfalme) wa nchi lakini kiwango cha unyenyekevu wake kilimpendeza Mungu.* -Daniel akuwa nabii lakini alikuwa mwanasiasa kwa maana ya (ukuu wa wilaya) lugha nyepesi kada wa mlengo wa mfalme (mwanasiasa) lakini alisimama na kukubali kutengwa na kutimiza kusudi la Mungu ata katika ugenini. Danieli 10:12. *Aliitwa apendwaye sana sibahati bali ni kwa sababu alikubali kujitenga na kuishi utakatifu , ni wewe tu mwokovu wa leo unaona kama kuishi utakatifu haiwezekani .* -Yusuph alikuwa si muhubiri pia wala kuhani lakini alichagua kujitenga na uharibifu wa zinaa na alikuwa mwanasiasa karsmatic leader ko ni wewe tu blaza unatumia ushawishi wako vibaya . *Ok nataka kusema hivi kama kila mtu ataamua kuwa barua ya kristo katika eneo alilo itiwa basi jua kabisa tutmpendeza Mungu cna baraka zitatufuata duniani kisha uzima wa milele .* Utakatifu ni maisha siyo tukio ukiweza kujua hilo basi utakuwa uleishu kadiri roho apendavyo. Ok naitwa sylvester kutoka (build new eden ) kwa mafundisho zaidi unaweza nitafuta kwa namba 0622625340 ni ku add kwenye mfululizo wa mafundisho . #build new eden #restore men position
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·1KB Visualizações
  • Je umewai ota uko juu ya paa na paa limefunguliwa ?nini maana yake

    1.Kuna roho ya uvivu inakufuatilia.
    Muhubiri 10:18
    Mithali 19:15

    2.Sababu ya uvivu unafungua roho ya umaskini kwako .

    3.Roho ya usingizi mzito ndani ya mtu unaweza kuwa ni kulaza biasharazako huduma yako au hata destiny yako.

    2.Usingizi ukizidi ni uzaifu ko roho ya udhaifu inataka kuingia.


    Usingizi mzito ni roho kamili ya mauti .1wathethalonike 4:14

    Naombaje .

    1.Omba toba kwa kumaanisha

    2.kataa roho ya uvivu wowote ule kwakuwauvivu ni umaskini kamili
    .
    3.Kataa roho ya usingizi mzito(mauti)

    4.jifumze kurudi magotini pa msalaba kuomba damu yake ikufunike.

    Ahsanteni sana kwa niaba ya build new eden naomba mtusamehe sana tulishimdwa kulipandisha somo hilo jana kutokana na sababu zilizo kuwa nje ya uwezo wetu.
    #build new eden
    #restore men position
    Je umewai ota uko juu ya paa na paa limefunguliwa ?nini maana yake 1.Kuna roho ya uvivu inakufuatilia. Muhubiri 10:18 Mithali 19:15 2.Sababu ya uvivu unafungua roho ya umaskini kwako . 3.Roho ya usingizi mzito ndani ya mtu unaweza kuwa ni kulaza biasharazako huduma yako au hata destiny yako. 2.Usingizi ukizidi ni uzaifu ko roho ya udhaifu inataka kuingia. Usingizi mzito ni roho kamili ya mauti .1wathethalonike 4:14 Naombaje . 1.Omba toba kwa kumaanisha 2.kataa roho ya uvivu wowote ule kwakuwauvivu ni umaskini kamili . 3.Kataa roho ya usingizi mzito(mauti) 4.jifumze kurudi magotini pa msalaba kuomba damu yake ikufunike. Ahsanteni sana kwa niaba ya build new eden naomba mtusamehe sana tulishimdwa kulipandisha somo hilo jana kutokana na sababu zilizo kuwa nje ya uwezo wetu. #build new eden #restore men position
    Love
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·693 Visualizações
  • Ulinihusia biashara asubuhi, usiku muda wa mahesabu!!
    Nicheze na mshahara, kibaruani niwe mstaarabu!!
    Nakumbuka nilipogombezwa na dingi, aliposikia nafanya Hip hop!!
    Wakasema ya wavuta bangi, nikakatazwa kuipenda
    rap!!
    Kihome babu ndio malenga, alienishawishi nifanye ka final lap!!
    Japo mshua alipinga, akisema rap ni uhuni!!
    Gafla akasema fikisha ujumbe, mc jiite muhubiri!!
    Kilichomfanya dingi asigombe, baaadaya kuisikia ile mistari!!
    Hip hop ni vile tunavyoishi, rap vile tunavyofanya!!
    Kashifa kibao haijalishi, lakini ujumbe unapenya!!
    Uwepo wa lugha za kitaa, matusi sio lugha ya street!!
    Usitafute kik ya ustar, kughani matusi kwenye beat!!
    Mc darasa lenye uhuru, mpe elimu huyu na yule!!
    Gizani rap iwe nuru, acha matusi heshima itawale!!
    Ulinihusia biashara asubuhi, usiku muda wa mahesabu!! Nicheze na mshahara, kibaruani niwe mstaarabu!! Nakumbuka nilipogombezwa na dingi, aliposikia nafanya Hip hop!! Wakasema ya wavuta bangi, nikakatazwa kuipenda rap!! Kihome babu ndio malenga, alienishawishi nifanye ka final lap!! Japo mshua alipinga, akisema rap ni uhuni!! Gafla akasema fikisha ujumbe, mc jiite muhubiri!! Kilichomfanya dingi asigombe, baaadaya kuisikia ile mistari!! Hip hop ni vile tunavyoishi, rap vile tunavyofanya!! Kashifa kibao haijalishi, lakini ujumbe unapenya!! Uwepo wa lugha za kitaa, matusi sio lugha ya street!! Usitafute kik ya ustar, kughani matusi kwenye beat!! Mc darasa lenye uhuru, mpe elimu huyu na yule!! Gizani rap iwe nuru, acha matusi heshima itawale!!
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·255 Visualizações