NDOTO ni mlango wa kiroho ambao ulimwengu wa roho unapitisha taarifa zake zinaweza kuwa zinatoka kwa Mungu au shetani anatumia kama mlango wa kuingiza taarifa.

#Habakuki 2:2-3
[2]BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.

[3]Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.

Kumbe taarifa ya habakuki ilimfikia kupitia mlango unao itwa ndoto .

Ndoto pia hutokana na shughuli nyingi au ni revision wa matukio ya mchana.

#Muhubiri 5:13
*Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno*

Ila mimi nataka nieleze ndoto kama mlango wa fahamu ambao Mungu hutumia kupeleka taarifa.
#Ebrania 1:11-14

#Ayubu 33:14-16
[14]Kwa kuwa Mungu hunena mara moja,
Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.
.
[15]Katika ndoto, katika maono ya usiku,
Usingizi mzito uwajiliapo watu,
Katika usingizi kitandani;
;
[16]Ndipo huyafunua masikio ya watu,
Na kuyatia muhuri mafundisho yao,

Kumbe ndoto sasa ni mlango ambao Mungu anatuonyessha picha ya matukio ya nyuma au ya mbele yanayo kuja.,

Kumbe baada ya kupata taarifa ya iliyo tangulia u inayo kuja lazima ujifunze kumtafuta Mungu.

#Yeremia 29:13
[13]Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

Kwanini tunamtafuta Mungu ni kwa sababu wewe ni wa rohoni na ndoto ni mlango wa rohoni usipo shughulika nayo itqkushughulikia .

#1 Kor 2:15 SUV
Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.

Baada ya kile ulicho kiota mtu wa rohoni lazima uyatambue vizr na ujue namna ya kuomba .

Kuna watu mafanikio yao yalianzia ndotoni na kuna watu umasikini wao ulianzia ndotoni .

Kwenye kila ndoto kuna taarifa na ndoto yenye taarifa lazima ikusumbue na ijirusie ndani yako .

Ndoto ndiyo level ya mwisho kwa Mungu kuzungumza na mtu ,namaanisha hivi Mungu akiona uelewi kupitia mawazo anakuja kwa njia ya njozi kama njia ya mwisho ya kufikisha taarifa.

Shetani pia akitaka kukupiga wakati mwingine anaanzia ndotoni.

Kuna mtu aliota anazini na mtu ndotoni kisha toka hapo hamu yq uzinzi inamtawala kila siku .

Kuna mtu aliota amengatwa na nyoka ndotoni kisha toka hapo homa udhaifu ukaingia.

Kuna dada aliota kama ananyonyesha mtoto wakati hana mtoto na amengatwa kwenye ziwa lake la kushoto na toka hapo ndipo saratani ya titi ilipo anzia .

Usichukulie ndoto kama kitu kidoga sana katika level hiyo .

Ndoto nyingi ni taarifa sema ni vile tu ujajifunza siri ya ufalme wa Mungu katika ulimwengu wa roho.

Kwa leo naomba nikuache na tafakuri hii kisha kesho tutatazama watu walio ota ndoto kibiblia na jinsi zilivyo timia .

Nikutakie asubui njema na siku njema .

Mkaribishe pia mwezio kwa kushare na kumualika ajoin katika group letu hili ili nayeye ajifunze siri hizi.

Namba :0622625340 Type neno add na jina lako nitakuad katika group .

Nikutakie asubui njema na siku njema .

Naitwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)
#ndoto ni taarifa acha kupuuzia
#restore men position
#build new eden
NDOTO ni mlango wa kiroho ambao ulimwengu wa roho unapitisha taarifa zake zinaweza kuwa zinatoka kwa Mungu au shetani anatumia kama mlango wa kuingiza taarifa. #Habakuki 2:2-3 [2]BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji. [3]Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia. Kumbe taarifa ya habakuki ilimfikia kupitia mlango unao itwa ndoto . Ndoto pia hutokana na shughuli nyingi au ni revision wa matukio ya mchana. #Muhubiri 5:13 *Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno* Ila mimi nataka nieleze ndoto kama mlango wa fahamu ambao Mungu hutumia kupeleka taarifa. #Ebrania 1:11-14 #Ayubu 33:14-16 [14]Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali. . [15]Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani; ; [16]Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia muhuri mafundisho yao, Kumbe ndoto sasa ni mlango ambao Mungu anatuonyessha picha ya matukio ya nyuma au ya mbele yanayo kuja., Kumbe baada ya kupata taarifa ya iliyo tangulia u inayo kuja lazima ujifunze kumtafuta Mungu. #Yeremia 29:13 [13]Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Kwanini tunamtafuta Mungu ni kwa sababu wewe ni wa rohoni na ndoto ni mlango wa rohoni usipo shughulika nayo itqkushughulikia . #1 Kor 2:15 SUV Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu. Baada ya kile ulicho kiota mtu wa rohoni lazima uyatambue vizr na ujue namna ya kuomba . Kuna watu mafanikio yao yalianzia ndotoni na kuna watu umasikini wao ulianzia ndotoni . Kwenye kila ndoto kuna taarifa na ndoto yenye taarifa lazima ikusumbue na ijirusie ndani yako . Ndoto ndiyo level ya mwisho kwa Mungu kuzungumza na mtu ,namaanisha hivi Mungu akiona uelewi kupitia mawazo anakuja kwa njia ya njozi kama njia ya mwisho ya kufikisha taarifa. Shetani pia akitaka kukupiga wakati mwingine anaanzia ndotoni. Kuna mtu aliota anazini na mtu ndotoni kisha toka hapo hamu yq uzinzi inamtawala kila siku . Kuna mtu aliota amengatwa na nyoka ndotoni kisha toka hapo homa udhaifu ukaingia. Kuna dada aliota kama ananyonyesha mtoto wakati hana mtoto na amengatwa kwenye ziwa lake la kushoto na toka hapo ndipo saratani ya titi ilipo anzia . Usichukulie ndoto kama kitu kidoga sana katika level hiyo . Ndoto nyingi ni taarifa sema ni vile tu ujajifunza siri ya ufalme wa Mungu katika ulimwengu wa roho. Kwa leo naomba nikuache na tafakuri hii kisha kesho tutatazama watu walio ota ndoto kibiblia na jinsi zilivyo timia . Nikutakie asubui njema na siku njema . Mkaribishe pia mwezio kwa kushare na kumualika ajoin katika group letu hili ili nayeye ajifunze siri hizi. Namba :0622625340 Type neno add na jina lako nitakuad katika group . Nikutakie asubui njema na siku njema . Naitwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) #ndoto ni taarifa acha kupuuzia #restore men position #build new eden
0 Commentarios ·0 Acciones ·3 Views