• OFFICIAL:Pacome bado yupo Yanga hadi 2027

    Mudathiri kaongeza miwili
    Pacome kaongeza miwili
    Maxi kaongeza miwili
    Job kaongeza miwili

    #SportsElite
    🚨OFFICIAL:Pacome bado yupo Yanga hadi 2027✍️ Mudathiri kaongeza miwili✅ Pacome kaongeza miwili✅ Maxi kaongeza miwili✅ Job kaongeza miwili✅ #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·19 Views
  • RASMI

    Franck Honorat amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu yake ya Borussia Mönchengladbach hadi mwaka 2029!

    #SportsElite
    RASMI ✅ Franck Honorat amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu yake ya Borussia Mönchengladbach hadi mwaka 2029! ✍️💚 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·19 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Newcastle United inavutiwa na kumsajili Benjamin Sesko baada ya Manchester United kushindwa kufikia bei..

    @David_Orsntien

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Newcastle United inavutiwa na kumsajili Benjamin Sesko baada ya Manchester United kushindwa kufikia bei.. @David_Orsntien #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·30 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Jorrel Hato yuko mbioni kujiunga na Chelsea kutoka Ajax kwa ada ya uhamisho £50M

    Beki huyo wa kushoto tayari wamefikia makubaliano binafsi ya kimasrahi na atadumu hadi 2033 ndani ya Chelsea.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Jorrel Hato yuko mbioni kujiunga na Chelsea kutoka Ajax kwa ada ya uhamisho £50M Beki huyo wa kushoto tayari wamefikia makubaliano binafsi ya kimasrahi na atadumu hadi 2033 ndani ya Chelsea. ⚪🔵 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·37 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Arsenal imekamilisha uhamisho wa Cristhian Mosquera (21) kutoka Valencia.

    @Enoch_Arthur34

    #SportsElite
    🚨🇪🇸 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Arsenal imekamilisha uhamisho wa Cristhian Mosquera (21) kutoka Valencia. @Enoch_Arthur34 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·20 Views
  • 𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜:

    FC Porto wamemsajili kiungo Victor Froholdt kutoka FC Copenhagen kwa dau la €20m!

    #SportsElite
    🔵⚪ 𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜: FC Porto wamemsajili kiungo Victor Froholdt kutoka FC Copenhagen kwa dau la €20m! ✍️💰 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·30 Views
  • Manchester United italazimika kulipa £40 milioni kumsajili Emi Martinez baada ya ombi lao la mkopo kukataliwa na Aston Villa.

    #SportsElite
    Manchester United italazimika kulipa £40 milioni kumsajili Emi Martinez baada ya ombi lao la mkopo kukataliwa na Aston Villa. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·40 Views
  • ...Baada ya utambulisho wa Offen Chikola hapo jana, Wananchi wanasema saa 8:30 mchana wa leo watakuwa na utambulisho mwingine

    #SportsElite
    ...Baada ya utambulisho wa Offen Chikola hapo jana, Wananchi wanasema saa 8:30 mchana wa leo watakuwa na utambulisho mwingine #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·57 Views
  • Alexander Isak anataka mshahara wa £300,000 kwa wiki ili kusaini mkataba mpya na Newcastle.

    #SportsElite
    Alexander Isak anataka mshahara wa £300,000 kwa wiki ili kusaini mkataba mpya na Newcastle. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·55 Views
  • SC Braga wamekamilisha usajili wa Pau Victor akitokea Fc Barcelona kwa ada ya €12M pamoja na nyongeza ya €3M.

    Pia kutakuwa na asilimia watakazopokea Barcelona kwenye mauzo yoyote ya Pau Victor hapo baadae kama sehemu ya makubaliano.

    #SportsElite
    SC Braga wamekamilisha usajili wa Pau Victor akitokea Fc Barcelona kwa ada ya €12M pamoja na nyongeza ya €3M. Pia kutakuwa na asilimia watakazopokea Barcelona kwenye mauzo yoyote ya Pau Victor hapo baadae kama sehemu ya makubaliano. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·56 Views
  • Ukiachana na kushindwa kuperform kwenye EPL, pia alishindwa kuperform kwenye Championship alipokuwa na Umri wa Miaka 22 hadi 25

    Kisha alikimbilia kwenye ligi ya wakulima, Baada ya misimu miwili watu wameingia mkenge, wamemrudisha kule kule Kwa Jana

    #SportsElite
    Ukiachana na kushindwa kuperform kwenye EPL, pia alishindwa kuperform kwenye Championship alipokuwa na Umri wa Miaka 22 hadi 25 Kisha alikimbilia kwenye ligi ya wakulima, Baada ya misimu miwili watu wameingia mkenge, wamemrudisha kule kule Kwa Jana #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·46 Views
  • Arteta Afunguka Kuhusu Uhamisho wa Merino na Zubimendi!

    Mikel Arteta amefunguka kuhusu mipango kabambe ya uhamisho iliyoiwezesha Arsenal kuwanasa Martin Zubimendi na Mikel Merino kwa misimu miwili mfululizo kutoka Real Sociedad!

    Akizungumza na gunnerblog, Arteta alifafanua jinsi ilivyokuwa muhimu kwa wachezaji wenyewe kutamani kujiunga na Arsenal, akisema, "Ilikuwa mpango uliopangwa vizuri sana. Na wachezaji wote wawili walikuwa na shauku kubwa ya kuja, jambo ambalo ni muhimu sana."

    Meneja huyo wa Arsenal alisisitiza ushirikiano mzuri na klabu ya Real Sociedad, akieleza, "Tulikuwa na klabu ya Real Sociedad iliyoelewa hali na wamekuwa bora. Tulifanya tulichotaka, na wachezaji walifanya tulichotaka, na nadhani Real Sociedad, mwishowe, walifurahishwa na matokeo."

    Maneno haya yanathibitisha jinsi Arsenal inavyojenga kikosi chake kwa umakini na mikakati ya uhamisho inayozingatia mahitaji ya klabu na matakwa ya wachezaji. Ni wazi kwamba Arteta na timu yake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha wanapata wachezaji wanaofaa kuimarisha kikosi na kuendelea kupigania mafanikio!

    #SportsElite
    Arteta Afunguka Kuhusu Uhamisho wa Merino na Zubimendi! 🔴⚪ Mikel Arteta amefunguka kuhusu mipango kabambe ya uhamisho iliyoiwezesha Arsenal kuwanasa Martin Zubimendi na Mikel Merino kwa misimu miwili mfululizo kutoka Real Sociedad! Akizungumza na gunnerblog, Arteta alifafanua jinsi ilivyokuwa muhimu kwa wachezaji wenyewe kutamani kujiunga na Arsenal, akisema, "Ilikuwa mpango uliopangwa vizuri sana. Na wachezaji wote wawili walikuwa na shauku kubwa ya kuja, jambo ambalo ni muhimu sana." Meneja huyo wa Arsenal alisisitiza ushirikiano mzuri na klabu ya Real Sociedad, akieleza, "Tulikuwa na klabu ya Real Sociedad iliyoelewa hali na wamekuwa bora. Tulifanya tulichotaka, na wachezaji walifanya tulichotaka, na nadhani Real Sociedad, mwishowe, walifurahishwa na matokeo." Maneno haya yanathibitisha jinsi Arsenal inavyojenga kikosi chake kwa umakini na mikakati ya uhamisho inayozingatia mahitaji ya klabu na matakwa ya wachezaji. Ni wazi kwamba Arteta na timu yake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha wanapata wachezaji wanaofaa kuimarisha kikosi na kuendelea kupigania mafanikio! #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·90 Views
  • Manchester united wanafuatilia kwa ukalibu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Sesko (22).

    Msimu uliopita Sesko akiwa na Leipzig kwenye mashindano yote alifanikiwa kufunga magoli 21 akitoa pasi 6 za magoli.

    #SportsElite
    Manchester united wanafuatilia kwa ukalibu uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Sesko (22). Msimu uliopita Sesko akiwa na Leipzig kwenye mashindano yote alifanikiwa kufunga magoli 21 akitoa pasi 6 za magoli. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·65 Views
  • Mazungumzo kati ya Chelsea na Leipzig yataanza kesho rasmi baada ya Mchezaji huyo kusema kuwa anataka kujiunga na Chelsea!

    #SportsElite
    ✍️🇳🇱Mazungumzo kati ya Chelsea na Leipzig yataanza kesho rasmi baada ya Mchezaji huyo kusema kuwa anataka kujiunga na Chelsea! #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·27 Views
  • Kocha wa Real Madrid Xabi Alonso ameuambia uongozi kuwa Brahim Diaz hatokuwa mchezaji anaeanza kwenye kikosi chake kuanzia msimu ujao.

    Ni wakati sahihi kabisaa wa fundi Brahim Diaz kwenda kutafta malisho nje ya Real Madrid kwangu mm naona ni wakati umefika Mara baada ya Kocha mkuu wa klabu hiyo kuuwambia uongozi kuwa hatokuwa mchezaji wake ambae anamtegemea kwenye kikosi chake.

    #SportsElite
    Kocha wa Real Madrid Xabi Alonso ameuambia uongozi kuwa Brahim Diaz hatokuwa mchezaji anaeanza kwenye kikosi chake kuanzia msimu ujao. Ni wakati sahihi kabisaa wa fundi Brahim Diaz kwenda kutafta malisho nje ya Real Madrid kwangu mm naona ni wakati umefika Mara baada ya Kocha mkuu wa klabu hiyo kuuwambia uongozi kuwa hatokuwa mchezaji wake ambae anamtegemea kwenye kikosi chake. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·44 Views
  • Jadon Sancho amekubali kujiunga na Juventus kwa mkataba wa miaka 4 hadi 2029 na chaguo la kuongeza mkataba mwingine, makubaliano baina ya Sancho na Juventus yamekamilika.

    Juventus sasa wapo kwenye mazungumzo na Manchester united ili kukamilisha dili hilo haraka iwezekanavyo, Juventus wapo tayari kutoa €20M pamoja na nyongeza ili kumpata Sancho.

    #SportsElite
    Jadon Sancho amekubali kujiunga na Juventus kwa mkataba wa miaka 4 hadi 2029 na chaguo la kuongeza mkataba mwingine, makubaliano baina ya Sancho na Juventus yamekamilika. Juventus sasa wapo kwenye mazungumzo na Manchester united ili kukamilisha dili hilo haraka iwezekanavyo, Juventus wapo tayari kutoa €20M pamoja na nyongeza ili kumpata Sancho. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·64 Views
  • Marcus Rashford ameonekana kwenye mazoezi ya Fc Barcelona baada ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo akitokea Manchester united.

    #SportsElite
    Marcus Rashford ameonekana kwenye mazoezi ya Fc Barcelona baada ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo akitokea Manchester united. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·33 Views
  • TAARIFA RASMI

    Klabu ya Nantes imethibitisha kumsajili beki wa kati Chidozie Awaziem kutoka Colorado Rapids.

    #SportsElite
    📢 TAARIFA RASMI Klabu ya Nantes🇫🇷 imethibitisha kumsajili beki wa kati Chidozie Awaziem kutoka Colorado Rapids. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·42 Views
  • Rasmi Yanga wamemtambulisha kiungo mkabaji wa Mlandege,Abdulnassir Mohammed Abdallah,maarufu Kama “Casemiro” kwa mkataba wa miaka mitatu.

    Yanga wameshinda vita ya kumnasa kiungo huyo mbele ya Azam Fc,JKT na Singida.

    #SportsElite
    🚨 Rasmi Yanga wamemtambulisha kiungo mkabaji wa Mlandege,Abdulnassir Mohammed Abdallah,maarufu Kama “Casemiro” kwa mkataba wa miaka mitatu. Yanga wameshinda vita ya kumnasa kiungo huyo mbele ya Azam Fc,JKT na Singida. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·79 Views
  • Athletic Bilbao wapo kwenye harakati za kumsajili Aymeric Larporte kutoka Al Nassr ya Saudia

    #SportsElite
    Athletic Bilbao wapo kwenye harakati za kumsajili Aymeric Larporte kutoka Al Nassr ya Saudia #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·40 Views
More Results