Upgrade to Pro

1. Mwanamama huyo kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa klabu ya Nottingham Forest, anaitwa Lina Souloulou ambaye ni Rais wa Ugiriki .

- Nottingham 2025: Nafasi ya tatu (3) katika Ligi Kuu ya England (EPL).

2. Picha ya kulia ni Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa Simba SC, Bi Zubeda Hassan Sakuru, Mtanzania .

- Simba SC 25: Nafasi ya kwanza (1) Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mvano: Ni wakati sasa ya kuwapa nafasi za kutosha uongozini hawa Viumbe .

1. Mwanamama huyo kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa klabu ya Nottingham Forest, anaitwa Lina Souloulou ambaye ni Rais wa Ugiriki ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ท . - Nottingham 2025: Nafasi ya tatu (3) katika Ligi Kuu ya England ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ (EPL). 2. Picha ya kulia ni Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa Simba SC, Bi Zubeda Hassan Sakuru, Mtanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. - Simba SC 25: Nafasi ya kwanza (1) Ligi Kuu Tanzania Bara. Mvano: Ni wakati sasa ya kuwapa nafasi za kutosha uongozini hawa Viumbe ๐Ÿ™Œ.
ยท59 Views