Atualize para o Pro

1. Mwanamama huyo kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa klabu ya Nottingham Forest, anaitwa Lina Souloulou ambaye ni Rais wa Ugiriki .

- Nottingham 2025: Nafasi ya tatu (3) katika Ligi Kuu ya England (EPL).

2. Picha ya kulia ni Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa Simba SC, Bi Zubeda Hassan Sakuru, Mtanzania .

- Simba SC 25: Nafasi ya kwanza (1) Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mvano: Ni wakati sasa ya kuwapa nafasi za kutosha uongozini hawa Viumbe .

1. Mwanamama huyo kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa klabu ya Nottingham Forest, anaitwa Lina Souloulou ambaye ni Rais wa Ugiriki šŸ‡¬šŸ‡· . - Nottingham 2025: Nafasi ya tatu (3) katika Ligi Kuu ya England šŸ“󠁧󠁢󠁄󠁮󠁧ó æ (EPL). 2. Picha ya kulia ni Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa Simba SC, Bi Zubeda Hassan Sakuru, Mtanzania šŸ‡¹šŸ‡æ. - Simba SC 25: Nafasi ya kwanza (1) Ligi Kuu Tanzania Bara. Mvano: Ni wakati sasa ya kuwapa nafasi za kutosha uongozini hawa Viumbe šŸ™Œ.
Ā·57 VisualizaƧƵes