Обновить до Про

Mtandao wa TikTok unatarajia kusitisha kutoa huduma nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025 kama Mahakama ikisimamia msimamo wake.

Serikali ya Marekani iliipa Masharti mtandao wa TikTok kuuza hisa zake kwa Raia wa Marekani badala ya kumilikiwa kwa asilimia zote na kampuni mama ya China ByteDance.

Ijumaa ya leo, Mahakama itakaa kujadili kama wasogeze mbele tarehe ya kusitisha huduma ya TikTok au waendelee na utaratibu uliopo.

Kwa upande wa wawakilishi wa mtandao wa TikTok wapo tayari kusitisha huduma Marekani kuliko kuuza hisa kwa Raia wa Marekani.

Follow #neliudcosiah
Mtandao wa TikTok unatarajia kusitisha kutoa huduma nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025 kama Mahakama ikisimamia msimamo wake. Serikali ya Marekani iliipa Masharti mtandao wa TikTok kuuza hisa zake kwa Raia wa Marekani badala ya kumilikiwa kwa asilimia zote na kampuni mama ya China ByteDance. Ijumaa ya leo, Mahakama itakaa kujadili kama wasogeze mbele tarehe ya kusitisha huduma ya TikTok au waendelee na utaratibu uliopo. Kwa upande wa wawakilishi wa mtandao wa TikTok wapo tayari kusitisha huduma Marekani kuliko kuuza hisa kwa Raia wa Marekani. Follow #neliudcosiah
·35 Просмотры