Passa a Pro

Wale wazee wa muvi ngumu za kukologa ubongo kiasi mpaka ukimaliza unasonya na kutukana mitusi ya moyoni maana hujaambulia kitu au umeielewa kwa shida sana basi nakupa kitu hiki kimetoka october 2024 .

Story inahusu ziwa moja liitwalo caddo ambalo kadri maji yanavyopungua alafu ukapita ktk sehemu fulani bas unatokea nyakati nyingine tofauti , yani inaweza kuwa siku nyingine au mwezi mwingine au mwaka mwingine , vile vile inaweza kuwa nyakati za mbele zaidi au za nyuma kabisaa .
Ktk hii muvi ina nyakati tofauti tofauti ila zaidi ni 2003 na 2022 , na nyakati zote zinamhusisha mtu aitwae Ana .
2022 Ana ni mdogo , anapotea ktk mazingira tata na dada yake kuanza kumtafuta .
Ktk kumtafuta kwake ndo atapita hiyo sehemu ya ziwani , na kutokea ktk nyakati za nyuma mpaka 2003 .
Ajabu ni kwamba 2003 Ana tayari ni mkubwa , ana mtoto wa kiume mkubwa pia .

Ktk wakati huu 2003 ana pia ametoweka , na mtoto wake wa kiume ndo anatafuta majibu 7bu ya kutoweka kwake .
Ktk kutafuta majibu na yeye anapita ziwa caddo ktk ile sehemu na kujikuta ametokea mpaka 2022 , wakati ambao Ana yule yule ni mdogo na amepotea pia .
Ni kama vile wamebadilishana yaani dada wa Ana kaja mwaka 2003 wa mtoto wa Ana , na mtoto wa Ana kaenda mwaka 2022 wa dada wa Ana , mbele kama nyuma na nyuma kama mbele
Shida ss ni kuweza kugundua Ana alipo , huo mkanganyiko na kuelewa kuhusu mahusiano yao na Ana ktk nyakati tofauti .

Kama unataka kuchanganyikiwa ruka nayo upate hasira za kula ugali kwa nguvu
Wale wazee wa muvi ngumu za kukologa ubongo kiasi mpaka ukimaliza unasonya na kutukana mitusi ya moyoni maana hujaambulia kitu au umeielewa kwa shida sana 😁basi nakupa kitu hiki 👇kimetoka october 2024 . Story inahusu ziwa moja liitwalo caddo ambalo kadri maji yanavyopungua alafu ukapita ktk sehemu fulani bas unatokea nyakati nyingine tofauti , yani inaweza kuwa siku nyingine au mwezi mwingine au mwaka mwingine , vile vile inaweza kuwa nyakati za mbele zaidi au za nyuma kabisaa . Ktk hii muvi ina nyakati tofauti tofauti ila zaidi ni 2003 na 2022 , na nyakati zote zinamhusisha mtu aitwae Ana . 2022 Ana ni mdogo , anapotea ktk mazingira tata na dada yake kuanza kumtafuta . Ktk kumtafuta kwake ndo atapita hiyo sehemu ya ziwani , na kutokea ktk nyakati za nyuma mpaka 2003 . Ajabu ni kwamba 2003 Ana tayari ni mkubwa , ana mtoto wa kiume mkubwa pia . Ktk wakati huu 2003 ana pia ametoweka , na mtoto wake wa kiume ndo anatafuta majibu 7bu ya kutoweka kwake . Ktk kutafuta majibu na yeye anapita ziwa caddo ktk ile sehemu na kujikuta ametokea mpaka 2022 , wakati ambao Ana yule yule ni mdogo na amepotea pia . Ni kama vile wamebadilishana yaani dada wa Ana kaja mwaka 2003 wa mtoto wa Ana , na mtoto wa Ana kaenda mwaka 2022 wa dada wa Ana , mbele kama nyuma na nyuma kama mbele 😁 Shida ss ni kuweza kugundua Ana alipo , huo mkanganyiko na kuelewa kuhusu mahusiano yao na Ana ktk nyakati tofauti .😁 Kama unataka kuchanganyikiwa ruka nayo 🤣upate hasira za kula ugali kwa nguvu
Like
1
·18 Views