Upgrade to Pro

Kama kawaida yangu,kuwasanua movies zisizoimbwa sana ila ni moto
-Hili ni jiwe sema ni tamu ukimaliza zote mbili yaani season 1&2.
Movie aina ya CI-FI yaani uchawi na kufikirika.Kama hauko makini sana usiangalie ya bila kutafsiriwa.
-KAMA UMESHAIONA COMMENT KITU CHOCHOTE UNACHOKUMBUKA.
Kama kawaida yangu,kuwasanua movies zisizoimbwa sana ila ni moto🔥 -Hili ni jiwe sema ni tamu ukimaliza zote mbili yaani season 1&2. Movie aina ya CI-FI yaani uchawi na kufikirika.Kama hauko makini sana usiangalie ya bila kutafsiriwa. -KAMA UMESHAIONA COMMENT KITU CHOCHOTE UNACHOKUMBUKA.
Like
1
·14 Views