Обновить до Про

Wapenzi wawili walienda zao matembezi huko jangwani kwenye milima , kwa kuwa walikua hawajui njia hivyo walikua wakiongozwa na tour guide mmoja wakitumia farasi .
Bahati mbaya njiani yule muongozaji(tour guide) wao anaumwa na nyoka mwenye sumu kali , kwa uwoga hata farasi wanakimbia zao na kuwaacha wao bila kurudi .
Wanatulia chini kuangalia namna ya kumsaidia , lakini kutokana na ukali wa sumu ya nyoka yule bas yule muongozaji anapoteza maisha hapo hapo mikononi mwao .
Wanamzika pale pale na kuanza kutafuta njia ya kurudi kwa miguu maana hawana tena farasi , ila wanaishia kupotea tu maana hawajui njia , na mtu aliyekua akiwaongoza kashakufa .

Network haipatikani kwa hiyo wanashauriana wapande juu ya mlima ili kupata network , na kuweza kuwasiliana na watu wakaweza kuwasaidia .
Wanafanikiwa kupata network na kuongea kidogo lakini network inapotea tena , kwa bahati mbaya sana kule juu wanateleza na kuanguka chini .
Mwanamke anaanguka na kuvunja simu ila mwanaume , mguu wake unaangukia katkati ya mfereji wa miamba na kukwama hapo .
Wanafanya juhudi zote ili kuutoa mguu lakini wanashindwa , usiku mzima wanautumia hapo mpaka asubuhi .
Mwishowe jamaa anamwambia mwanamke amkate mguu wake ili waendelee na safari , mwanamke anagoma lakini baadae anaona hakuna budi wakate tu ili waondoke .

Shida ss ni kwamba hilo eneo lina mbwa mwitu , walikuwa wakiwavizia wawatafune .Ulinzi wa pekee ulikua ni moto tu kwa mwanamke , kinyume na hapo wangeshambuliwa .
Changamoto ni kwamba jangwa ni kubwa , hawajui walipo wala wanapotakiwa kwenda , mwanaume ndo tayari kashapoteza damu hajiwezi , chakula wala maji hawana na mbwa mwitu ndo kama hivyo wamewazunguka kama wote .
Wanatokaje hapo !!!? , majibu utayapata ukiangalia

Wazee wa survival movie tuishi nayo kama hujawahi kuiona
Wapenzi wawili walienda zao matembezi huko jangwani kwenye milima , kwa kuwa walikua hawajui njia hivyo walikua wakiongozwa na tour guide mmoja wakitumia farasi . Bahati mbaya njiani yule muongozaji(tour guide) wao anaumwa na nyoka mwenye sumu kali , kwa uwoga hata farasi wanakimbia zao na kuwaacha wao bila kurudi . Wanatulia chini kuangalia namna ya kumsaidia , lakini kutokana na ukali wa sumu ya nyoka yule bas yule muongozaji anapoteza maisha hapo hapo mikononi mwao . Wanamzika pale pale na kuanza kutafuta njia ya kurudi kwa miguu maana hawana tena farasi , ila wanaishia kupotea tu maana hawajui njia , na mtu aliyekua akiwaongoza kashakufa . Network haipatikani kwa hiyo wanashauriana wapande juu ya mlima ili kupata network , na kuweza kuwasiliana na watu wakaweza kuwasaidia . Wanafanikiwa kupata network na kuongea kidogo lakini network inapotea tena , kwa bahati mbaya sana kule juu wanateleza na kuanguka chini . Mwanamke anaanguka na kuvunja simu ila mwanaume , mguu wake unaangukia katkati ya mfereji wa miamba na kukwama hapo . Wanafanya juhudi zote ili kuutoa mguu lakini wanashindwa , usiku mzima wanautumia hapo mpaka asubuhi . Mwishowe jamaa anamwambia mwanamke amkate mguu wake ili waendelee na safari , mwanamke anagoma lakini baadae anaona hakuna budi wakate tu ili waondoke . Shida ss ni kwamba hilo eneo lina mbwa mwitu , walikuwa wakiwavizia wawatafune .Ulinzi wa pekee ulikua ni moto tu kwa mwanamke , kinyume na hapo wangeshambuliwa . Changamoto ni kwamba jangwa ni kubwa , hawajui walipo wala wanapotakiwa kwenda , mwanaume ndo tayari kashapoteza damu hajiwezi , chakula wala maji hawana na mbwa mwitu ndo kama hivyo wamewazunguka kama wote . Wanatokaje hapo !!!? , majibu utayapata ukiangalia 😁 Wazee wa survival movie tuishi nayo kama hujawahi kuiona 🙏
Like
1
1 Комментарии ·13 Просмотры