Upgrade to Pro

Jamaa mmoja alinyimwa unyumba na mkewe , hivyo akaamua kwenda kutafuta danga/mchepuko huko nje .
Bahati mbaya sana kulikua na kidubwana mithiri ya yai kilichotoka nje ya dunia na kuangukia kichakani , na bahati mbaya tena jamaa ndo alifika eneo hilo kumaliza haja zake na mchepuko .
Waliposhtukia kuna hicho kidubwana baada ya kukiona , kile kidubwana kikamrushia kitu yule jamaa na kumuingia tumboni mpaka kichwani .

Maisha yakaendelea ila mwili wa jamaa ulianza kubadilika na kuwa siyo mtu wa kawaida siku hadi siku , akaanza kuua wanyama mfano paka , mbwa n.k .
Akaanza kurefuka mikono , kutoka mapele n.k , lakini hayo yote akawa anamficha mkewe asijue .
Watu wakawa wanashangaa ktk mji wao kupotea kwa wanyama wao (pets) ktk mazingira tata .
Jamaa alimteka yule mchepuko na kuwa anampandikizia maminyoo(parasites) kumuwekea ktk mwili wake kila siku , hatimae maminyoo yalimjaa mengi na kumtoka huyo mchepuko .
Minyoo ilianza kusambaa ktk mji na kuwaingia watu , watu wakabadilika akili na kuwa mazombie wakicontroliwa na jamaa .
Anayecontroo yote ni jamaa kwa hiyo ili kuzibiti tatizo inabidi wamuue jamaa , shida ni ktk kumuua jamaa ukizingatia mji mzima karibu watu wote washaingiwa na minyoo na jamaa ndiye anayewacontroo .

Tbt moja safi sana , tunaweza kujikumbushia . Kwa wasioijua bas unaweza kuishi nayo pia
Enjoy
Jamaa mmoja alinyimwa unyumba na mkewe , hivyo akaamua kwenda kutafuta danga/mchepuko huko nje . Bahati mbaya sana kulikua na kidubwana mithiri ya yai kilichotoka nje ya dunia na kuangukia kichakani , na bahati mbaya tena jamaa ndo alifika eneo hilo kumaliza haja zake na mchepuko . Waliposhtukia kuna hicho kidubwana baada ya kukiona , kile kidubwana kikamrushia kitu yule jamaa na kumuingia tumboni mpaka kichwani . Maisha yakaendelea ila mwili wa jamaa ulianza kubadilika na kuwa siyo mtu wa kawaida siku hadi siku , akaanza kuua wanyama mfano paka , mbwa n.k . Akaanza kurefuka mikono , kutoka mapele n.k , lakini hayo yote akawa anamficha mkewe asijue . Watu wakawa wanashangaa ktk mji wao kupotea kwa wanyama wao (pets) ktk mazingira tata . Jamaa alimteka yule mchepuko na kuwa anampandikizia maminyoo(parasites) kumuwekea ktk mwili wake kila siku , hatimae maminyoo yalimjaa mengi na kumtoka huyo mchepuko . Minyoo ilianza kusambaa ktk mji na kuwaingia watu , watu wakabadilika akili na kuwa mazombie wakicontroliwa na jamaa . Anayecontroo yote ni jamaa kwa hiyo ili kuzibiti tatizo inabidi wamuue jamaa , shida ni ktk kumuua jamaa ukizingatia mji mzima karibu watu wote washaingiwa na minyoo na jamaa ndiye anayewacontroo . Tbt moja safi sana , tunaweza kujikumbushia . Kwa wasioijua bas unaweza kuishi nayo pia Enjoy 🙏
1 Kommentare ·18 Ansichten