Atualize para o Pro

Kama we ni mpenzi season Kama Dexter au Hannibal yaani mfumo ule basi
Tafadhali hii sio ya kukosa ...Season. hii inahusiana about Serial killers wanavyouwa watu sasa Agent Holden na Bill Tench wakapewa kazi .. Kazi yenyewe ilikua kwenda Jela kufanya interview na wale ma Serial killers ili wajua vyanzo vya kuwafanya how wanachose target zao how do they do it yaani maswali balaa na kweli walienda wanafanikiwa kujifunza kutokana na interview hizo hivo hivo kuna mauwaji yaliendelea yanatokea mitaani kwao so kutokana Holden na Tench kazi zao ilikua kujua how Serial killer mind works eeh bhana ndo mchezo unaanza ukihusika na kifo cha fulani hata kama uwe msiri kiasi gani ukiwekwa katikati ya hawa majamaa eeeh bhana utajikuta unaanza kuropoka swala baada ya lingine Season imetulia hii Season inaweza kusaidia baadhi kumtambua muongo na mkweli kaicheki ipo Netflix inaitwa Mindhunter zipo Season 2 tu nasikia ya tatu wali cancel kutokana kwamba imeuza sana na ma fans walipenda iendelee kaicheki #Mindhunter
Kama we ni mpenzi season Kama Dexter au Hannibal yaani mfumo ule basi Tafadhali hii sio ya kukosa ...Season. hii inahusiana about Serial killers wanavyouwa watu sasa Agent Holden na Bill Tench wakapewa kazi .. Kazi yenyewe ilikua kwenda Jela kufanya interview na wale ma Serial killers ili wajua vyanzo vya kuwafanya how wanachose target zao how do they do it yaani maswali balaa na kweli walienda wanafanikiwa kujifunza kutokana na interview hizo hivo hivo kuna mauwaji yaliendelea yanatokea mitaani kwao so kutokana Holden na Tench kazi zao ilikua kujua how Serial killer mind works eeh bhana ndo mchezo unaanza ukihusika na kifo cha fulani hata kama uwe msiri kiasi gani ukiwekwa katikati ya hawa majamaa eeeh bhana utajikuta unaanza kuropoka swala baada ya lingine Season imetulia hii Season inaweza kusaidia baadhi kumtambua muongo na mkweli kaicheki ipo Netflix inaitwa Mindhunter zipo Season 2 tu nasikia ya tatu wali cancel kutokana kwamba imeuza sana na ma fans walipenda iendelee kaicheki #Mindhunter
Like
1
·19 Visualizações