Upgrade to Pro

Mama na wanae watatu pamoja na mama yake (bibi) walikua bustanini nje ya nyumba wakipiga story na kuchukuana video , huku watoto wawili wakiwa wanacheza huku na kule wanakimbizana .
Wakati mama na bibi wakiwa wamezubaa kuchukua video za katoto kachanga ka mwisho , kumbe huku nyuma kuna njembi ilikuja na kumuiba mtoto wa kike bila wao kujua .
Mama mtu anakuja kushtuka baadae baada ya kuangalia video waliyokua wakichukuana na kuona nyuma yake kulikua na gari ambayo mtoto wake alikua akiifuata , hapo ndo anashtuka kuwa mtoto ameibwa baada ya kutomuona .

Akapiga simu ya dharula haraka sana ili police waweze kumsaidia , akatuma maelezo ya mtoto wake alivyo , mahali alipo na aina ya gari maana alikua na kale kavideo .
Wenzetu wana mifumo yao kwa matukio ya aina hiyo , kilichofanyika ile taarifa ilitumwa kwa watu wote ktk mji kupitia smart phone na uwasilishaji mwingine kwamba kuna mtoto katekwa na aina ya gari iliyomteka , ili kama kuna atakayeiona aweze kuwasaidia police .
Changamoto ni kwamba ile video ilionyesha ubavu wa gari tu na si plate number kwa hiyo ni ngumu kujua 7bu gari zinafanana kimuonekano .
Pili video haikumuonyesha jamaa hivyo hawaijui sura yake , hivyo ni changamoto nyingine .
Moja kati ya watu waliopata hiyo taarifa alikua dereva tax na mteja wake huko barabarani , ambao mbele yao ndo kulikua na hiyo gari iliyomteka mtoto .

Hawakua na uhakika maana gari zinafanana lakini kwa kuwa wamepata taarifa hawana budi kudadisi kwa maana linaweza kuwa ndio hilo gari lenyewe .
Mteja ndiye amekua akimsisitiza dereva tax kufuatilia hiyo gari lakini dereva wala hakutaka 7bu ana mambo yake na yupo ktk kusaka tonge .
Mwishoe wakaamua tu kumfuatilia na kuja kugundua yeye ndiye mtekaji mwenyewe baada ya kuona ushahidi kadhaa kama miguu ya mtoto , jamaa kuwa na bunduki , jamaa kuendesha speed isiyo ya kawaida n.k .
Shida ss ni kumpata huyo binti aliyetekwa

Jina linasomeka ktk cover , enjoy
Mama na wanae watatu pamoja na mama yake (bibi) walikua bustanini nje ya nyumba wakipiga story na kuchukuana video , huku watoto wawili wakiwa wanacheza huku na kule wanakimbizana . Wakati mama na bibi wakiwa wamezubaa kuchukua video za katoto kachanga ka mwisho , kumbe huku nyuma kuna njembi ilikuja na kumuiba mtoto wa kike bila wao kujua . Mama mtu anakuja kushtuka baadae baada ya kuangalia video waliyokua wakichukuana na kuona nyuma yake kulikua na gari ambayo mtoto wake alikua akiifuata , hapo ndo anashtuka kuwa mtoto ameibwa baada ya kutomuona . Akapiga simu ya dharula haraka sana ili police waweze kumsaidia , akatuma maelezo ya mtoto wake alivyo , mahali alipo na aina ya gari maana alikua na kale kavideo . Wenzetu wana mifumo yao kwa matukio ya aina hiyo , kilichofanyika ile taarifa ilitumwa kwa watu wote ktk mji kupitia smart phone na uwasilishaji mwingine kwamba kuna mtoto katekwa na aina ya gari iliyomteka , ili kama kuna atakayeiona aweze kuwasaidia police . Changamoto ni kwamba ile video ilionyesha ubavu wa gari tu na si plate number kwa hiyo ni ngumu kujua 7bu gari zinafanana kimuonekano . Pili video haikumuonyesha jamaa hivyo hawaijui sura yake , hivyo ni changamoto nyingine . Moja kati ya watu waliopata hiyo taarifa alikua dereva tax na mteja wake huko barabarani , ambao mbele yao ndo kulikua na hiyo gari iliyomteka mtoto . Hawakua na uhakika maana gari zinafanana lakini kwa kuwa wamepata taarifa hawana budi kudadisi kwa maana linaweza kuwa ndio hilo gari lenyewe . Mteja ndiye amekua akimsisitiza dereva tax kufuatilia hiyo gari lakini dereva wala hakutaka 7bu ana mambo yake na yupo ktk kusaka tonge . Mwishoe wakaamua tu kumfuatilia na kuja kugundua yeye ndiye mtekaji mwenyewe baada ya kuona ushahidi kadhaa kama miguu ya mtoto , jamaa kuwa na bunduki , jamaa kuendesha speed isiyo ya kawaida n.k . Shida ss ni kumpata huyo binti aliyetekwa Jina linasomeka ktk cover , enjoy 🙏
·17 Ansichten