Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Senegal Kalidou Koulibaly aliwahi kunukuliwa akisema " Siwezi kusahau siku ambayo Mtoto wangu alizaliwa. Mke wangu alienda Clinic asubuhi na tulikuwa tukicheza na Sassuolo nyumbani kwetu kwenye siku hiyohiyo. Kipindi tukiwa kwenye kipindi cha video simu yangu ilikuwa ikiita "
" Mke wangu alinipigia mara 6 au mara 5 . Nilitoka nje na Mke wangu akaniambia " Ni lazima uje ,Mtoto wetu atazaliwa " . Kwahiyo nilienda kumuona Sarri ( Kocha wa Napoli kipindi hicho) na kumwambia "Mwalimu, Samahani , Inabidi niondoke sasa hivi , Mtoto wangu anaenda kuzaliwa "
"Aliniangalia na kusema " Hapana Hapana Hapana . Nakuhitaji usiku wa leo Koulibaly . Hauwezi kwenda . Nilisisitiza " Ni siku ya kuzaliwa ya Mwanangu"
" Unaweza kufanya chochote unachotaka kwangu,Ninyonge lakini sijali .Mimi naenda ,Sarri alisema "Sawa unaweza kwenda Clinic , Lakini inabidi urudi kwenye mchezo usiku wa leo . Nakuhitaji Koul " .
"Nilifika Clinic saa 1:30 mchana na ninamshukuru Mungu niliweza kushuhudia Mtoto wangu akizaliwa . Ilikuwa siku bora kwenye maisha yangu ".
" Saa 10 jioni ,Sarri alinipigia simu na kuniambia nirudi ,Mke wangu alinihitaji sana lakini aliniruhusu nikajiunge na Timu kiwanjani . Nilienda lakini pindi nilivyoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo , Niliona Sarri akionesha kikosi " .
" Niliangalia jina langu pale ,Namba yangu haikuwepo . Nilimwambia " Mheshimiwa nina imani unatania ? Mtoto wangu ,Mke wangu ,Nimewaacha , Ulisema unanihitaji mimi" , Ndipo akajibu " Ndio nakuhitaji .... Kwenye Benchi" .Nikifikiria jambo hilo kwasasa nahisi kucheka . Lakini kwa muda ule , Nilitaka kulia "
-Kalidou Koulibaly mchezaji wa Klabu ya Al Hilal na timu ya Taifa ya Senegal
#neliudcosiah

1 Comments
·57 Views