Upgrade to Pro

Kwenye season ya Squid game kuna huyu mwamba the front man , kiongozi wa michezo yote inayofanyika kwenye season ya pili anatambulika kama namba 001 , alikuwa mnafiki kama baba yake yule mzee wa season ya kwanza nayeye alikuwa namba 001

The front man alikuwa mnafiki , alijifanya ni mwenzao kumbe yeye ndo jambazi kuu na mtunzi wa ile michezo , kuna sehemu alikuwa anajifanyisha hajui kucheza zikiwa zimebaki sekunde chache tu wote wapigwe risasi ! mashabiki wanasema alikuwa mnafiki mpaka alijisahau

#neliudcosiah
Kwenye season ya Squid game kuna huyu mwamba the front man , kiongozi wa michezo yote inayofanyika kwenye season ya pili anatambulika kama namba 001 , alikuwa mnafiki kama baba yake yule mzee wa season ya kwanza nayeye alikuwa namba 001 The front man alikuwa mnafiki , alijifanya ni mwenzao kumbe yeye ndo jambazi kuu na mtunzi wa ile michezo , kuna sehemu alikuwa anajifanyisha hajui kucheza zikiwa zimebaki sekunde chache tu wote wapigwe risasi ! mashabiki wanasema alikuwa mnafiki mpaka alijisahau 😀 #neliudcosiah
·65 Views