Kwenye viwango vya timu bora barani Afrika chini ya CAF, Yanga tuna alama 34 mpaka sasa na ikitokea Yanga tumefuzu kwenda robo fainali tutafikisha alama 39 na kuzishusha timu 2 kwenye top 10 ya CAF.
Na ikitokea Yanga tumefika nusu fainali basi tutaingia Moja Kwa moja kwenye 5 bora ya CAF. Misimu 3 ya KIBABE.
Mwaka huu tunaenda kufyeka kichaka Cha Makolo Cha CAF ranking ndo walikuwa wamejificha Kwa mda mrefu
Pichani hapo chini ni Aziz Ki Stephanie Pamoja na Clement Mzize mzee wa maloketi wote watafunga kwenye mchezo wetu wa tarehe 18/1/2025 dhidi ya MC ALGER kwenye uwanja wa Mkapa.
#neliudcosiah

Mwaka huu tunaenda kufyeka kichaka Cha Makolo Cha CAF ranking ndo walikuwa wamejificha Kwa mda mrefu 🤣🤭
Pichani hapo chini ni Aziz Ki Stephanie 🔑 Pamoja na Clement Mzize mzee wa maloketi wote watafunga kwenye mchezo wetu wa tarehe 18/1/2025 dhidi ya MC ALGER kwenye uwanja wa Mkapa.
#neliudcosiah
·52 Views