Pep Guardiola amefichua kuwa aliambia Manchester City kutoleta mabadiliko makubwa kwa kikosi chake wakati wa dirisha la uhamisho la majira ya kiangazi ya 2024.
Pep: "Klabu ilifikiria kuhusu hilo na nikasema, 'Hapana, sitaki kufanya usajili wowote. Nataka kutegemea timu hii, nataka kubaki nao.' Ni Savio tu alikuja, Gundo akarudi - haikutarajiwa.
"Ninawategemea sana hawa wachezaji na nikaona bado naweza kufanya tena na hao wachezaji. Lakini baada ya majeraha, ‘WOW! Labda tungepaswa kufanya hivyo,’ lakini huwezi kujua..."
#neliudcosiah

🚨Pep Guardiola amefichua kuwa aliambia Manchester City kutoleta mabadiliko makubwa kwa kikosi chake wakati wa dirisha la uhamisho la majira ya kiangazi ya 2024.