Erling Braut Haaland amesaini mkataba na Machester City wa miaka tisa na nusu mpaka 2034 ambao utajumuisha rekodi ya mshahara .
Mshahara mnono zaidi kuwahi kutokea Man City , na pia mmoja wa mshahara mkubwa katika historia ya Ligi kuu England na Football kiujumla
Source : @fabriziorom @davidornstein
Piga hela tu , kuna maisha baada ya kusakata kandanda.!
#neliudcosih

Piga hela tu , kuna maisha baada ya kusakata kandanda.! 😀
#neliudcosih