Maazimio (22) ya Marais wa Nchi Wanachama wa SADC na EAC kwenye mkutano uliofanyika leo hii Jijini Dar Es Salaam, Tanzania , Azimio la (12) limewataka Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Nchi zote Wanachama kukutana ndani ya siku tano (5) na kutoa mwelekeo wa kitalaam kuhusu mambo yafuatayo:
- Kusitisha mara moja mapigano huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo .
- Kutoa misaada ya Kibinadamu na kuwasaidia Wahanga wa vita.
- Kutoa mpango kazi wa ulinzi ndani ya Mji wa Goma na maeneo Jirani.
- Kuzifungua njia muhimu za mawasiliano kwenye Miji ya Goma - Kibumba- Rumangambo - Kalengera- Rutshuru na Goma - Kiwanja- Rwindi lakini pia matumizi ya Ziwa Kivu kwa ajili ya usafiri.
- Kuufungua Uwanja wa Ndege wa Mji Goma mara moja.

Maazimio (22) ya Marais wa Nchi Wanachama wa SADC na EAC kwenye mkutano uliofanyika leo hii Jijini Dar Es Salaam, Tanzania 🇹🇿, Azimio la (12) limewataka Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Nchi zote Wanachama kukutana ndani ya siku tano (5) na kutoa mwelekeo wa kitalaam kuhusu mambo yafuatayo:
- Kusitisha mara moja mapigano huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo 🇨🇩.
- Kutoa misaada ya Kibinadamu na kuwasaidia Wahanga wa vita.
- Kutoa mpango kazi wa ulinzi ndani ya Mji wa Goma na maeneo Jirani.
- Kuzifungua njia muhimu za mawasiliano kwenye Miji ya Goma - Kibumba- Rumangambo - Kalengera- Rutshuru na Goma - Kiwanja- Rwindi lakini pia matumizi ya Ziwa Kivu kwa ajili ya usafiri.
- Kuufungua Uwanja wa Ndege wa Mji Goma mara moja.
0 Yorumlar
·0 hisse senetleri
·24 Views