#SportsElite...Manchester United wako tayari kuwasilisha dau la £33.3m (euro 40m) kwa beki wa kushoto wa Barcelona mwenye umri wa miaka 21 Alejandro Balde msimu ujao. (El Nacional - Spanish)
Newcastle wanapanga kutoa dau la pauni milioni 33.3 (euro milioni 40) msimu ujao kwa mshambuliaji wa PSV Eindhoven na Ubelgiji Johan Bakayoko, 21. (Tuttosport – In Italy)
Newcastle pia wanatazamiwa kuzipiku Barcelona na Real Madrid katika usajili wa bure wa winga wa Uhispania chini ya umri wa miaka 19 Antonio Cordero, 18, ambaye mkataba wake wa Malaga unamalizika msimu huu wa joto. (Mail)
Manchester United na Chelsea wanavutiwa na mshambuliaji wa Ipswich Mwingereza Liam Delap, 22. (Football Insider)

#SportsElite🌏...Manchester United wako tayari kuwasilisha dau la £33.3m (euro 40m) kwa beki wa kushoto wa Barcelona mwenye umri wa miaka 21 Alejandro Balde msimu ujao. (El Nacional - Spanish)
Newcastle wanapanga kutoa dau la pauni milioni 33.3 (euro milioni 40) msimu ujao kwa mshambuliaji wa PSV Eindhoven na Ubelgiji Johan Bakayoko, 21. (Tuttosport – In Italy)
Newcastle pia wanatazamiwa kuzipiku Barcelona na Real Madrid katika usajili wa bure wa winga wa Uhispania chini ya umri wa miaka 19 Antonio Cordero, 18, ambaye mkataba wake wa Malaga unamalizika msimu huu wa joto. (Mail)
Manchester United na Chelsea wanavutiwa na mshambuliaji wa Ipswich Mwingereza Liam Delap, 22. (Football Insider)
![Love](https://socialpop.online/content/uploads/photos/2024/04/socialpop_03cf467b4f5c31e2dc5765a07d6fab9d.png)