Adhabu ya Raia kutoka Nchini Kenya ambaye alikuwa anyongwe mpaka kifo baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya cocaine Nchini Vietnam imepunguzwa baada ya jitihada nyingi za Viongozi wa Kenya kuomba sana kwa Serikali hiyo impunguzie adhabu ya Magreth Nduta.

Kwa sasa adhabu ya Magret Nduta imesogezwa mpaka mwezi June ili kuona kama Vietnam watakubali Magreth kurudishwa ili aje apewe kifungo na nchi yake ya Kenya .

Ikumbukwe kuwa Vietnam ni moja ya Nchi yenye misimamo mikali sana kuhusu Wauzaji na Wasambazaji wa madawa ya kulevya ambapo adhabu yake ni kufa.

Adhabu ya Raia kutoka Nchini Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ambaye alikuwa anyongwe mpaka kifo baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya cocaine Nchini Vietnam ๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ณ imepunguzwa baada ya jitihada nyingi za Viongozi wa Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช kuomba sana kwa Serikali hiyo impunguzie adhabu ya Magreth Nduta. Kwa sasa adhabu ya Magret Nduta imesogezwa mpaka mwezi June ili kuona kama Vietnam ๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ณ watakubali Magreth kurudishwa ili aje apewe kifungo na nchi yake ya Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช. Ikumbukwe kuwa Vietnam ๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ณ ni moja ya Nchi yenye misimamo mikali sana kuhusu Wauzaji na Wasambazaji wa madawa ya kulevya ambapo adhabu yake ni kufa.
0 Comments ยท0 Shares ยท82 Views