Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepanga kufanya mazungumzo na Kundi la Waasi wa M23, April 9 mwaka huu, Nchini Qatar , yenye nia ya kutafuta amani katika eneo la Mashariki mwa Nchi hiyo. Kikao hicho kitakachofanyika Jijini Doha n kitakuwa kikao cha kwanza kwa pande zote mbili kukaa na kuzungumza baada ya kuthibitisha kuwa watashiriki.
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 imepanga kufanya mazungumzo na Kundi la Waasi wa M23, April 9 mwaka huu, Nchini Qatar 🇶🇦, yenye nia ya kutafuta amani katika eneo la Mashariki mwa Nchi hiyo. Kikao hicho kitakachofanyika Jijini Doha n kitakuwa kikao cha kwanza kwa pande zote mbili kukaa na kuzungumza baada ya kuthibitisha kuwa watashiriki.
