Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepanga kufanya mazungumzo na Kundi la Waasi wa M23, April 9 mwaka huu, Nchini Qatar , yenye nia ya kutafuta amani katika eneo la Mashariki mwa Nchi hiyo. Kikao hicho kitakachofanyika Jijini Doha n kitakuwa kikao cha kwanza kwa pande zote mbili kukaa na kuzungumza baada ya kuthibitisha kuwa watashiriki.

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo πŸ‡¨πŸ‡© imepanga kufanya mazungumzo na Kundi la Waasi wa M23, April 9 mwaka huu, Nchini Qatar πŸ‡ΆπŸ‡¦, yenye nia ya kutafuta amani katika eneo la Mashariki mwa Nchi hiyo. Kikao hicho kitakachofanyika Jijini Doha n kitakuwa kikao cha kwanza kwa pande zote mbili kukaa na kuzungumza baada ya kuthibitisha kuwa watashiriki.
Love
1
Β· 0 Comments Β·0 Shares Β·79 Views