"Goli 8 Asisti 9 So Far .. Kabatini kwake kuna TUZO 6 za MAN OF THE MATCH. Tuzo 3 kazibeba kwenye mechi za ugenini, Tuzo 3 kazibeba kwenye mechi za Nyumbani
Na kubwa zaidi, Tuzo 3 za Man of The Match kazibeba kwenye MECHI 3 MFULULIZO
Mabibi na Mabwana .. Huyu sio mwingine ni EL PROFFESSSSOR @pacom_zouzoua .. HE IS ON FIRE🫡
Mungu aendelee kumpa afya njema Tukamilishe Jambo letu Msimu huu" - Ali Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.

Mungu aendelee kumpa afya njema Tukamilishe Jambo letu Msimu huu👑" - Ali Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
0 Commentaires
·0 Parts
·34 Vue