Maisha bila unafiki hayaendi kabisa, Leo hii Alex Sanchez anasema timu yake ya moyoni ni Arsenal.

Hawezi kuisahau katukatu lakini jinsi alivyolazimisha kuondoka kipindi timu inamuhitaji, nazidi kuamini unafiki upo duniani kote .

Babu Wenger alijitahidi sana kumbakisha lakini wapi

Follow Neliud Cosiah
Maisha bila unafiki hayaendi kabisa, Leo hii Alex Sanchez anasema timu yake ya moyoni ni Arsenal. Hawezi kuisahau katukatu lakini jinsi alivyolazimisha kuondoka kipindi timu inamuhitaji, nazidi kuamini unafiki upo duniani kote ๐Ÿ˜‚. Babu Wenger alijitahidi sana kumbakisha lakini wapi ๐Ÿ˜€ Follow Neliud Cosiah
Like
2
ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท209 Views