Maisha bila unafiki hayaendi kabisa, Leo hii Alex Sanchez anasema timu yake ya moyoni ni Arsenal.

Hawezi kuisahau katukatu lakini jinsi alivyolazimisha kuondoka kipindi timu inamuhitaji, nazidi kuamini unafiki upo duniani kote .

Babu Wenger alijitahidi sana kumbakisha lakini wapi

Follow Neliud Cosiah
Maisha bila unafiki hayaendi kabisa, Leo hii Alex Sanchez anasema timu yake ya moyoni ni Arsenal. Hawezi kuisahau katukatu lakini jinsi alivyolazimisha kuondoka kipindi timu inamuhitaji, nazidi kuamini unafiki upo duniani kote 😂. Babu Wenger alijitahidi sana kumbakisha lakini wapi 😀 Follow Neliud Cosiah
Like
2
· 0 Commentarios ·0 Acciones ·232 Views