8/21 NGUVU YA MSAMAHA.

Msamaha si tukio la kimwili bali ni tukio la kiroho .

Mungu mwenyewe ndo mwenye asili ya msamaha hivyo basi kukosa ndo tabia ya mwanadamu lakini kusamehe ni tabia ya mungu mwenyewe.
Efeso 4:32 BHN
*Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe*

Moja y ishara inayo thibitisha upendo wetu kwa Mungu ni msamaha ,tunasamehe ili tumuone Mungu katika namna ya upendo wake .

Lawi 19:18
*Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.*

*Kumbe msamaha uashiria upendo na upendo ni Amri kuu ambayo Mungu alituachia ya kuwa yatupasa pendana*

*Atusamehe ili tumnufaishe aliye tukosea tunasamehe ili tumuone Mungu katika maisha yetu*

Kwanini tunasamehe.

1.kusamehe kuna kupa fursa ya kusamehewa makosa yako
Mathayo 6:12 *Na utusamehe makosa yetu kama sisi tulivyokwisha kuwa samehe waliotukosea*

2.kusamehe kunakupa fursa ya kusikilizwa maombi yako .
Isaya 59:1-2

Kumbe ili kusamehewa na Mungu wetu ni lazima wewe usamehe pia.

3.kusamehe kunaweza saidia kufungua mlango wa sadaka ili ipate kibali.
Mathayo 5:23-24

4.Msamaha ni mlango wa uponyaji wako .yakobo5:14-15

5.Msamaha ni mlango wa baraka katika maisha yako
mwanzo 37:23-27

6.Msamaha ni mlango wa wokovu kwa watu wengine.
Luka 23:33-34
Rumi 12:14

Ko kumbe ukitizama vizuri tunasamehe kwa ajiri ya kutimiza kusudi lake Mungu wetu.

*Jifunze kusamehe ili utumiwe na Mungu na kusikilizwa haja zako.*

Ahsante naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

#build new eden
#Restoremenposition
8/21 NGUVU YA MSAMAHA. Msamaha si tukio la kimwili bali ni tukio la kiroho . Mungu mwenyewe ndo mwenye asili ya msamaha hivyo basi kukosa ndo tabia ya mwanadamu lakini kusamehe ni tabia ya mungu mwenyewe. Efeso 4:32 BHN *Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe* Moja y ishara inayo thibitisha upendo wetu kwa Mungu ni msamaha ,tunasamehe ili tumuone Mungu katika namna ya upendo wake . Lawi 19:18 *Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.* *Kumbe msamaha uashiria upendo na upendo ni Amri kuu ambayo Mungu alituachia ya kuwa yatupasa pendana* *Atusamehe ili tumnufaishe aliye tukosea tunasamehe ili tumuone Mungu katika maisha yetu* Kwanini tunasamehe. 1.kusamehe kuna kupa fursa ya kusamehewa makosa yako Mathayo 6:12 *Na utusamehe makosa yetu kama sisi tulivyokwisha kuwa samehe waliotukosea* 2.kusamehe kunakupa fursa ya kusikilizwa maombi yako . Isaya 59:1-2 Kumbe ili kusamehewa na Mungu wetu ni lazima wewe usamehe pia. 3.kusamehe kunaweza saidia kufungua mlango wa sadaka ili ipate kibali. Mathayo 5:23-24 4.Msamaha ni mlango wa uponyaji wako .yakobo5:14-15 5.Msamaha ni mlango wa baraka katika maisha yako mwanzo 37:23-27 6.Msamaha ni mlango wa wokovu kwa watu wengine. Luka 23:33-34 Rumi 12:14 Ko kumbe ukitizama vizuri tunasamehe kwa ajiri ya kutimiza kusudi lake Mungu wetu. *Jifunze kusamehe ili utumiwe na Mungu na kusikilizwa haja zako.* Ahsante naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) #build new eden #Restoremenposition
0 Комментарии ·0 Поделились ·86 Просмотры