Ufunuo 2:18 KANISA LA ZINAA

Ufunuo wa Yohana 2:18-19
[18]Na kwa malaika wa kanisa lililoko Thiatira andika;
Haya ndiyo anenayo Mwana wa Mungu, yeye aliye na macho yake kama mwali wa moto, na miguu yake mfano wa shaba iliyosuguliwa sana.

*[19]Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza*.

Kanisa la thiatra lilikuwa kanisa zuri kabisa lakini lilitawaliwa na roho ya Yezeberi kiasi cha kwamba lilikuwa tayari kufuata mfundisho ya yezeberi.

Biblia inasema nayajua matendo yako ,imani yako na subira yako .kwa lugha nyepesi ni kuwa matendo yao yalikuwa safi kabisa tatizo ni moja tu na ndilo lilikuwa kubwa sana.

*Tatizo wanalidhia mafundisho ya Yezeberi,(roho ya Yezeberi) ambayo ni roho ya uharibifu sana kuliko kawaida .*

Roho ya Yezeberi ni roho ya uharibifu ni roho iliyopo kanisani ambako watu ni walokole lakin wanaongoza kwa uzinzi ,uasherati na mabo mengine.

Kuna muda lazima tuseme ukweli kanisa la thiatra ni kanisa kubwa lililoko huku duniani s,sadaka linatoa ,kuabudu na kusifu linasifu lakini likitoka hapo linaweza kwenda kwa mchepuko na kuzini naye.

*Kwa sababu hii imepelekea kanisa kupoteza utu wake kama kanisa na kubaki kama kopo tu*

Uwezi kuwa mtumishi mzuri ,prayer worier ,worship mzuri huku roho ya Yezeberi imekutawala.

*Roho za Yezeberi ni zipi. Kanisa lenye zinaa kama maisha yao .Roho ya kujiinua na roho ya kutotii ni roho za Yezeberi na kanisa lisipo tubu litakuwa limepoteza sana kuliko kawaida*

*Biblia inasema wazi kabisa kosa kubwa alilo lifanya Ahabui ni kuoa YEZEBERI bint Ethbaali.*

Ahabu alikosea hapo kwa kuoa binti ambaye alikuwa amelelewa na kukuzwa katika miungu ya baali .

Ok naomba nirudi kwenye mada muhimu sana kuwa kanisa la thiatra linaishi mpaka leo kwa kuwa kanisa bado linaiishi zinaa kama sehemu ya maisha yake.

*Kristo anasema hivi ametoa nafasi ya watu kutubu kama amta tubu ndipo tutajua kuwa yeye ni Mungu anaye chunguza moyo na viuno*

Ufunuo wa Yohana 2:20-21
*[20]Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.*

[21]Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.

Kama kanisa tumepewa nafasi ya kutubu ili tuweze kumuona Mungu.

*Toba ni muhimu sana kama kanisa ili roho ya Yezeberi isilikumbe kanisa kama ilivyo likumba kabisa la thiatra .*

Huu ndo wito wetu kwa kanisa la leo kurejea kumtafuta masihi kwa kuikataa roho ya yezeberi kwa toba kama Kristo alivyo toa nafasi ya toba.

Naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden )

#build new eden
#restore men position
Ufunuo 2:18 KANISA LA ZINAA Ufunuo wa Yohana 2:18-19 [18]Na kwa malaika wa kanisa lililoko Thiatira andika; Haya ndiyo anenayo Mwana wa Mungu, yeye aliye na macho yake kama mwali wa moto, na miguu yake mfano wa shaba iliyosuguliwa sana. *[19]Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza*. Kanisa la thiatra lilikuwa kanisa zuri kabisa lakini lilitawaliwa na roho ya Yezeberi kiasi cha kwamba lilikuwa tayari kufuata mfundisho ya yezeberi. Biblia inasema nayajua matendo yako ,imani yako na subira yako .kwa lugha nyepesi ni kuwa matendo yao yalikuwa safi kabisa tatizo ni moja tu na ndilo lilikuwa kubwa sana. *Tatizo wanalidhia mafundisho ya Yezeberi,(roho ya Yezeberi) ambayo ni roho ya uharibifu sana kuliko kawaida .* Roho ya Yezeberi ni roho ya uharibifu ni roho iliyopo kanisani ambako watu ni walokole lakin wanaongoza kwa uzinzi ,uasherati na mabo mengine. Kuna muda lazima tuseme ukweli kanisa la thiatra ni kanisa kubwa lililoko huku duniani s,sadaka linatoa ,kuabudu na kusifu linasifu lakini likitoka hapo linaweza kwenda kwa mchepuko na kuzini naye. *Kwa sababu hii imepelekea kanisa kupoteza utu wake kama kanisa na kubaki kama kopo tu* Uwezi kuwa mtumishi mzuri ,prayer worier ,worship mzuri huku roho ya Yezeberi imekutawala. *Roho za Yezeberi ni zipi. Kanisa lenye zinaa kama maisha yao .Roho ya kujiinua na roho ya kutotii ni roho za Yezeberi na kanisa lisipo tubu litakuwa limepoteza sana kuliko kawaida* *Biblia inasema wazi kabisa kosa kubwa alilo lifanya Ahabui ni kuoa YEZEBERI bint Ethbaali.* Ahabu alikosea hapo kwa kuoa binti ambaye alikuwa amelelewa na kukuzwa katika miungu ya baali . Ok naomba nirudi kwenye mada muhimu sana kuwa kanisa la thiatra linaishi mpaka leo kwa kuwa kanisa bado linaiishi zinaa kama sehemu ya maisha yake. *Kristo anasema hivi ametoa nafasi ya watu kutubu kama amta tubu ndipo tutajua kuwa yeye ni Mungu anaye chunguza moyo na viuno* Ufunuo wa Yohana 2:20-21 *[20]Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.* [21]Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake. Kama kanisa tumepewa nafasi ya kutubu ili tuweze kumuona Mungu. *Toba ni muhimu sana kama kanisa ili roho ya Yezeberi isilikumbe kanisa kama ilivyo likumba kabisa la thiatra .* Huu ndo wito wetu kwa kanisa la leo kurejea kumtafuta masihi kwa kuikataa roho ya yezeberi kwa toba kama Kristo alivyo toa nafasi ya toba. Naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ) #build new eden #restore men position
0 Comments ·0 Shares ·36 Views