Power of choise part 4.

Neno msingi.Angalia nawawekea mbele yako yaani baraka na laana. Kumbu kumbu la torati 11:26

Ukikosea kuchagua au kuongozwa na nguvu ya kuchagua umekosea maisha.

Baada ya kuwaangalia mashujaa kazaa walio pata matokeo kwa kujiongoza kuchagua badi tunapaswa kurudi kuangalia pia walio kosea kuchagua na matokeo waliyo yapata.

Kumbuka nikisema nguvu ya kuchagua namaanisha jambo kubwa sana rohoni kuliko kuwaza kuchagua mweza .

Nazungumzia kanuni thabiti ya maisha ambayo kama ukiijua na kuiishi lazima matokeo yakufuate.

1.Sauil
Sauli alipo chagua kito kutiii sauti ya Mungu akapelekea kupoteza nafasi ya kifalme kwa sababu ya tamaa ya siku moja ..

Bahati mbaya sana wengi sana tukikosea kuchagua si rahisi kuomba toba kwa kuwa tunakuwa na mbinu nyingi sana za kujitetea.


1 Samweli 13:11-14
[11]Samweli akasema, Umefanya nini? Naye Sauli akasema, Ni kwa sababu naliona ya kuwa watu wanatawanyika mbali nami, na wewe hukuja siku zile zilizonenwa; nao Wafilisti wamekusanyika pamoja huko Mikmashi;

[12]basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za BWANA; kwa hiyo nalijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa.
.
[13]Naye Samweli akamwambia Sauli, Umefanya upumbavu; hukuishika amri ya BWANA, Mungu wako, aliyokuamuru; kwa maana BWANA angaliufanya ufalme wako kuwa imara juu ya Israeli milele.

[14]Lakini sasa ufalme wako hautadumu; BWANA amejitafutia mtu aupendezaye moyo wake, naye BWANA amemwamuru yeye kuwa mkuu juu ya watu wake, kwa sababu wewe hukulishika neno lile BWANA alilokuamuru.


Hii mara ya kwanza Sauli anajiongoza vibaya katika nguvu iliyo ndani yake inayo itwa nguvu ya kuchagua.

1 Samweli 15:23
[23]Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi,
Na ukaidi ni kama ukafiri na vinyago;
Kwa kuwa umelikataa neno la BWANA,
Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme.

Anashindwa pia kufuata maelekezo si kwa sababu anapenda bali sababu ya kuto kuwa na nguvu inayo kuwezesha kuchagua.

Na ili uchague lazima uwe na roho mtakatifu kati ya nguvu anayo kupa ni nguvu ya kuchagua .

Bahati mbaya sana akina sauli wako wengi duniani wanafanya kile wasicho agizwa kwa tamaa zao arafu wanasema ni kwa ajiri ya injiri .

Mfano mwepesi huwezi kuwa dada au kaka wa plays arafu kutwa unazini arafu utegemee Mungu atakukubali kwani dhambi ni matokeo ya kukosa nguvu ya kuchagua.

Natamani sana vijana tujue siri ya uyu roho ambaye ndiye aliyetupa Nguvu hii ya kuchagua na jinsi inavyo weza badilisha Maisha yetu.

Ukiweza kuiishi nguvu hii inayo itwa kuchagua basi uneyaweza maisha .

Ahsantenaitwa Sylvester Mwakabende Kutoka (build new eden )

#build new eden
#restore men position
Power of choise part 4. Neno msingi.Angalia nawawekea mbele yako yaani baraka na laana. Kumbu kumbu la torati 11:26 Ukikosea kuchagua au kuongozwa na nguvu ya kuchagua umekosea maisha. Baada ya kuwaangalia mashujaa kazaa walio pata matokeo kwa kujiongoza kuchagua badi tunapaswa kurudi kuangalia pia walio kosea kuchagua na matokeo waliyo yapata. Kumbuka nikisema nguvu ya kuchagua namaanisha jambo kubwa sana rohoni kuliko kuwaza kuchagua mweza . Nazungumzia kanuni thabiti ya maisha ambayo kama ukiijua na kuiishi lazima matokeo yakufuate. 1.Sauil Sauli alipo chagua kito kutiii sauti ya Mungu akapelekea kupoteza nafasi ya kifalme kwa sababu ya tamaa ya siku moja .. Bahati mbaya sana wengi sana tukikosea kuchagua si rahisi kuomba toba kwa kuwa tunakuwa na mbinu nyingi sana za kujitetea. 1 Samweli 13:11-14 [11]Samweli akasema, Umefanya nini? Naye Sauli akasema, Ni kwa sababu naliona ya kuwa watu wanatawanyika mbali nami, na wewe hukuja siku zile zilizonenwa; nao Wafilisti wamekusanyika pamoja huko Mikmashi; [12]basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za BWANA; kwa hiyo nalijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa. . [13]Naye Samweli akamwambia Sauli, Umefanya upumbavu; hukuishika amri ya BWANA, Mungu wako, aliyokuamuru; kwa maana BWANA angaliufanya ufalme wako kuwa imara juu ya Israeli milele. [14]Lakini sasa ufalme wako hautadumu; BWANA amejitafutia mtu aupendezaye moyo wake, naye BWANA amemwamuru yeye kuwa mkuu juu ya watu wake, kwa sababu wewe hukulishika neno lile BWANA alilokuamuru. Hii mara ya kwanza Sauli anajiongoza vibaya katika nguvu iliyo ndani yake inayo itwa nguvu ya kuchagua. 1 Samweli 15:23 [23]Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi, Na ukaidi ni kama ukafiri na vinyago; Kwa kuwa umelikataa neno la BWANA, Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme. Anashindwa pia kufuata maelekezo si kwa sababu anapenda bali sababu ya kuto kuwa na nguvu inayo kuwezesha kuchagua. Na ili uchague lazima uwe na roho mtakatifu kati ya nguvu anayo kupa ni nguvu ya kuchagua . Bahati mbaya sana akina sauli wako wengi duniani wanafanya kile wasicho agizwa kwa tamaa zao arafu wanasema ni kwa ajiri ya injiri . Mfano mwepesi huwezi kuwa dada au kaka wa plays arafu kutwa unazini arafu utegemee Mungu atakukubali kwani dhambi ni matokeo ya kukosa nguvu ya kuchagua. Natamani sana vijana tujue siri ya uyu roho ambaye ndiye aliyetupa Nguvu hii ya kuchagua na jinsi inavyo weza badilisha Maisha yetu. Ukiweza kuiishi nguvu hii inayo itwa kuchagua basi uneyaweza maisha . Ahsantenaitwa Sylvester Mwakabende Kutoka (build new eden ) #build new eden #restore men position
Yay
1
· 0 Comments ·0 Shares ·501 Views