Katika mchezo wa Chelsea dhidi ya Los Angeles, kipindi cha pili cha mchezo kilicheleweshwa kwa dakika chache kwani Olivier Giroud hakuwa na jezi ya kuvaa

Mshambuliaji wa Kifaransa alikuwa ameiacha jezi yake kwenye chumba cha kubadilishia nguo golikipa David Ochoa akaenda kuichukua

#sportselite
Katika mchezo wa Chelsea dhidi ya Los Angeles, kipindi cha pili cha mchezo kilicheleweshwa kwa dakika chache kwani Olivier Giroud hakuwa na jezi ya kuvaa 馃槄馃憰 Mshambuliaji wa Kifaransa alikuwa ameiacha jezi yake kwenye chumba cha kubadilishia nguo golikipa David Ochoa akaenda kuichukua 馃槄 #sportselite
Like
Wow
2
0 Commentarios 0 Acciones 193 Views