OFFICIAL
Uongozi wa klabu ya Manchester City umepunguza kwa asilimia 43% gharama za tiketi na punguzo Hilo litaanza kufanya kazi kuanzia michezo ya msimu ujao 2025/26.
Hatua hii imekuja baada ya migomo kutoka kwa mashabiki wa klabu hiyo,wakidai Bei za tiketi zipunguzwe zilikuwa juu sana hasa kwa wale wanaonunua tiketi za msimu mzima.
Tiketi zote zimepunguzwa Bei kuanzia za mechi Kwa mechi mpaka za msimu mzima...
#sportselite

OFFICIAL 🔵