OFFICIAL

Laliga wamethibitisha kuwa FC Barcelona wamekamilisha vibali vyote vya Golikipa wao mpya Joan Garcia na ataruhusiwa kuitumikia klabu hiyo msimu ujao 2025/26 bila ya kikwazo chochote.

#sportselite
OFFICIAL 🔴 Laliga wamethibitisha kuwa FC Barcelona wamekamilisha vibali vyote vya Golikipa wao mpya Joan Garcia na ataruhusiwa kuitumikia klabu hiyo msimu ujao 2025/26 bila ya kikwazo chochote. #sportselite
Love
1
· 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·11 Views