BREAKING

Napoli waanza harakati za kumsajili Jadon Sancho! 鈿笍

Kwa mujibu wa Sky Italia, Napoli wanamwona winga wa Manchester United kama usajili muhimu kwa mipango yao ya msimu ujao.
Mazungumzo yanatarajiwa kusonga mbele katika siku chache zijazo

#sportselite
馃毃 BREAKING Napoli waanza harakati za kumsajili Jadon Sancho! 馃煢鈿笍 Kwa mujibu wa Sky Italia, Napoli wanamwona winga wa Manchester United kama usajili muhimu kwa mipango yao ya msimu ujao. Mazungumzo yanatarajiwa kusonga mbele katika siku chache zijazo #sportselite
Like
1
0 Commentarios 0 Acciones 326 Views