Uongozi wa klabu ya Paris Saint-Germain umeamua kutoa kiasi cha €50m kwa ajili ya kusaidia harakati za kuinusuru klabu ya Olympique Lyonnaise isishushwe daraja kutoka Ligue 1 mpaka Ligue 2.
Siku chache zilizopita DNCG ilitangaza rasmi kuishusha daraja klabu ya Olympique Lyonnaise mara baada ya kushindwa kulipa madeni wanayodaiwa.
PSG imejipanga kulipa madeni Yao na wadau wengine wapo tayari kujitolea kulipa madeni yote Ili Klabu hiyo iendelee kusalia Ligue 1.
Sababu kuu ya PSG kuisaidia klabu ya Lyonnaise ni kutokana na klabu hiyo kuwauzia Bradley Barcola ambae mpaka Sasa ni mchezaji tegemezi katika kikosi Cha kwanza Cha PSG.
#sportselite

0 Comments
·0 Shares
·10 Views