Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026!

⛔️ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo.

Mapendekezo yao ni pamoja na:
• Kupumzika kila baada ya dakika 15
• Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko
• Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani
• Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano
• Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa

Follow us Elly Sport
🌡️⚠️ Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026! ⛔️ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo. âś… Mapendekezo yao ni pamoja na: • Kupumzika kila baada ya dakika 15 đź§Š • Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko ⏱️ • Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani 🌥️ • Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano 🏥 • Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa 🚨 Follow us Elly Sport
0 Commentaires ·0 Parts ·11 Vue